Wakazi wa Uvira huko DRC wanahitaji m23 kubakia hapo Kwa kuwa wanatenda haki kuliko serikali

Wakazi wa Uvira huko DRC wanahitaji m23 kubakia hapo Kwa kuwa wanatenda haki kuliko serikali

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa

Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni
Hii ni ajabu

Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa kuwafukuza vikosi vya serikali

Baada ya kupewa amri na Trump kuwa watoke Uvra, Leo wananchi wamelalamika mno na kusema wao wanawahitaji M23

Wananchi wanasema M23 ni wazalendo na watu Wema kabisa, wanatenda haki, hawauwi raia, kuteka, na kuiba kama wafanyavyo vikosi vya serikali ya Congo DR

Umepata somo Gani Mtanganyika mwenzagu?
Screenshot_20251218-101957.png
 
Back
Top Bottom