Weka Ramani iwe rahisi Kukadria...Lakini pia Kanda ya Ziwa ni Pana Sana:Kina cha Msingi zinategemea Aina ya Udongo,Musoma,Bunda,Magu,Mwanza,Geita,Bukoba,Ukerewe Kote ni Kanda ya Ziwa.Ungekuwa Geita au Katoro trip 1 inajenga Mita 8 Hadi 10.Tafuta mzingo kisha zidisha Kwa 8 Utapata idadi ya trip.