py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,454
Point of correction
Huyo scorpion hakumpora yule jamaa mchana kweupe Bali saa tano kasoro usiku ndio alifanyiwa ukatili huo
Pili nimeshuhudia mamia ya vijana wakichomwa moto na kuuliwa kwa kukwapua
Tatu huyo aliyekukwapulia labda ni mwenyeji ,anajulikana na hao wanaokutizama wanafahamiana kwa hyo kumuumbua jirani yao wanaona soo
Kwa jiji la Dar ukiitiwa mwizi umekwisha omba usijekupigiwa kelele za mwizi RAIA hawasikii utakufa, Mara kadhaa ninaona