mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,290
Mleta mada usilalamike sana ndiyo wanaume wa Dar walivyo. Hao hawajakuja kukusaidia kwa sababu mume wao alikuwa kazini na wanataka kulishwa, sasa wangefanyaje?
Umeonaeee.....hatupendagi ujinga cc.mkuu mi naona tubadilishane tu hata kwa wiki moja wa mikoani tuje dar