Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

Tulikuwa tunaongelea Watu wa Asili ya Zanzibar na kwa taarifa yako kuwa Mwafrika sio lazima uwe Mbantu.

Angalia Visiwa vya Socotra vilivyopo kwenye pembe ya Afrika lakini watu wake wa asili ni Waarabu wa yemen.
 
sio rahisi namna hiyo rudi nyuma kidato cha tatu utakutana na jibu la swali hili kutoka kwa marcopolo
wakazi wa kisiwa hiki walikuwa wakilimi, wenye Mungu wao, utamaduni wao na rugha yao... baadhi ya majina ya ndizi zao ni kama Mumiani, sukari na mkono wa tembo...

hii ni kabla ya ujuo wa seydina seyyid saiiiid
 
Hao wanajiita waungwana na wenzao wa bara wanawaita watwana
Au wanaita wenzao machogo
 
Yote kwa yote watanganyika kule siyo kwenu, taifa ya zanzibar likijitenga wote mtatakiwa kuondoka.
 
Asili ya wazanzibar ni wazanzibar mwenyewe tu? ukisemea asili hakuna mwenye asili ya Tanganyika?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…