Mbona waarabu wa Oman wamekuja miaka ya karibuni tu.Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata leo wakazi wengi unakuta wanaasili ya wanyamwezi, wayao, hadi wamanyema kutoka Congo. Mababu zao walikuwa watumwa.
Sasa wakazi wa asili kabisa wa Zanzibar ni watu gani? Lugha yao ni ipi? Au kulikuwa hakuna watu, maana visiwa vingi vya bahari ya hindi vilikuwa haviishi watu miaka watu wameanza kusafiri huku na huko baharini.
Wazazi wake walitokea huko....Hivi Karume alikuwa Mmalawi
Kwani hata sisi watanganyika tulianzia kuishi Tanganyika?!!Wote ni watu wabara huwa wanajifaragua tu. Inatakiwa warudi huku Tujunga nchi yetu huko tuihamishie mbuga ya chato.
Hii mada imeisha jadiliwa sana humu, mara zote mjadala huishia kutupiana madongo kati ya ng'ambo hii na ng'ambo ile kule.Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata leo wakazi wengi unakuta wanaasili ya wanyamwezi, wayao, hadi wamanyema kutoka Congo. Mababu zao walikuwa watumwa.
Sasa wakazi wa asili kabisa wa Zanzibar ni watu gani? Lugha yao ni ipi? Au kulikuwa hakuna watu, maana visiwa vingi vya bahari ya hindi vilikuwa haviishi watu miaka watu wameanza kusafiri huku na huko baharini.
Zanzibar haina watu wa asili wote ni wahamiaji (mabaharia) nikisiwa kilichotumiwa na wavuvi kupumzika, ndio maana Zanzibar haina wenyewe utasikia tu Wamakunduchi hao wanatoka Makunduchi mkoa wa Kaskazini, Wapemba wanatoka Pemba, Watumbatu kuna wanyamwezi ,Wamalawi,Wanyamwezi,Wakongo,Wangoni, Wakurya,Waarabu,Wacomoro,Wachina,Wahindi, Wazaramo,Wamakonde nk.Maana miaka ya 1800 Sultani alianzisha kilimo cha karafuu Zanzibar. Biashara hii na ile ya utumwa ilikuwa ya pesa nyingi. Mwishowe akaamua yeye mwenyewe kuhamia Zanzibar. Hapo waarabu kibao kutoka Oman wakahama naye. Wakaanzisha mashamba ya karafuu na kuweka watumwa kibao kufanya kazi. Hata leo wakazi wengi unakuta wanaasili ya wanyamwezi, wayao, hadi wamanyema kutoka Congo. Mababu zao walikuwa watumwa.
Sasa wakazi wa asili kabisa wa Zanzibar ni watu gani? Lugha yao ni ipi? Au kulikuwa hakuna watu, maana visiwa vingi vya bahari ya hindi vilikuwa haviishi watu miaka watu wameanza kusafiri huku na huko baharini.
Wanyakyusa hawajatoka Zenj bana wao asili yao Morogoro ,Mahenge, ambapo baba alitoka Afrika ya Kusini akaoa mtoto wa kipogoro ndio likawa zao la Wanyakyusa, na hata majina mengi ya vijiji vya Mahenge/Kilombero yanafanana na majina ya vijiji vya wakazi wa Rungwe , Kyela , Busokelo na Ileje ambako ndio ngome ya Wanyakyusa ambao wamevuka hadi Malawi wanakoitwa Wangonde.Wazazi wake walitokea huko....
Ila hata baadhi ya makabila ya Tanzania yametokea huko....Nyakyusa ,Wamwera ,Wayao n.k
Watu wa Iran Persia.Mkuu Waajemi si watu wa Iran?
Wazazi wake walitokea huko....
Ila hata baadhi ya makabila ya Tanzania yametokea huko....Nyakyusa ,Wamwera ,Wayao n.k
Hivi Karume alikuwa Mmalawi