YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,906
- 51,924
Huko nyuma watu waliojitenga na Kanisa katoliki kwa kumpinga Papa na maamuzi yake wakikuwa wanawaona wakaidi wenye shetani la uasi na waliopotoka
Baada ya yamko la Papa kuruhusu kubariki wapenzi wa Jinsia moja Papa kapingwa na mabaraza ya Maaskofu nchi nyingi tu
Moto unafukuta waumini wengi wako tayari kwa lolote kujiengua ukatoliki na kwenda madhehebu mengine yaliyopo au kumfuata padre yeyote atakayeanzisha dhehebu jipya la katoliki lisilokubaliana na tamko la Papa
Zile kelele za kuita wengine waliojiitenga na katoliki kupinga maagizo ya Papa zimepungua wameanza kuelewa logic ya waliojitenga kuwa kuwa ni kweli Papa aweza Kosea na kuudhi kanisa