Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,223
4,646
Kwanza niwape pole ya dhati Toka moyoni Kwa wakatoliki waliokwazika na Tamko la Papa

Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa la kubariki wa jinsia moja wenye mahusiano jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali tafadhali

Kiimani na mifumo na uimara kiimani na kiuongozi na ulezi wa waumini Kwa wakatoliki waende huko Kujiunga Kwa mkatoliki ni rahisi sana aende kanisa lolote jirani la Lutheran ataungwa haraka tu bila masharti asikae nyumbani bila kusali

Mungu awe nanyi nyie na familia zenu ili.muendelee kumwabudu Mungu Kwa Raha na amani ya moyo

Kujiunga hakuna complications hata kidogo
 
Nyumba ikichafuka usihame, ondoa uchafu, kumuondoa yeye ni sahihi na kufuta pitisho lake ni utakaso kabisa.

Zaidi ya hapo ni heri Joseph Strickland wa Marekani huko aliyekuwa ameona kabla kabisa kuwa huyo aliyepo ni legevu na atalisukumia kanisa kwa freemason wenye hayo maono ya kuivuruga dunia, na kweli ikawa.
 
Kwanza niwape pole ya dhati Toka moyoni Kwa wakatoliki waliokwazika na Tamko la Papa

Wakatoliki mliokwazika na tamko la Papa la kubariki wa jinsia moja wenye mahusiano jiungeni na kanisa aliloanzisha Padre Martin Luther la Lutheran msikae bila kusali tafadhali

Kiimani na mifumo na uimara kiimani na kiuongozi na ulezi wa waumini Kwa wakatoliki waende huko Kujiunga Kwa mkatoliki ni rahisi sana aende kanisa lolote jirani la Lutheran ataungwa haraka tu bila masharti asikae nyumbani bila kusali

Mungu awe nanyi nyie na familia zenu ili.muendelee kumwabudu Mungu Kwa Raha na amani ya moyo

Kujiunga hakuna complications hata kidogo
Dini pekee inayotambulika na Muumba ni uislam tu
 
Wajiandae kwa michango pia
 
Kwanza taarifa ya Papa ilipotoshwa na BBC ambao wamekuwa kila mara wakimchokonoa kwa maswali ili ajibu, wao wapotoshe taarifa ili kuhalalisha uovu wao waliouukubali.

Papa hakusema homosexuals wabarikiwe, yaani uhusiano wao upate baraka, bali alisema wasitengwe, na wakiomba baraka wasinyimwe (lakini haikumaanishwa baraka ya mahusiano yao). Tena akamalizia kwa kusisitiza kuwa ndoa itabakia kuwa ni taasisi inayoundwa kati ya mume na mke. Na akasisitiza kuwa homosexuals wasibaguliwe katika jamii.

Lakini BBC chombo cha habari Uingereza, nchi inayokubali ndoa za jinsia moja, wakaibadilisha habari na kusema kuwa Papa amesema homosexuals wanaweza kubarikiwa kanisani, wakimaanisha watu wa jinsia moja wanaweza kufungishwa ndoa ndani ya kanisa Katoliki. Jambo ambalo ni uwongo. Haijawahi kutokea, haijatokea, na haitatokea watu wa jinsia moja kufungishwa ndoa ndani ya kanisa katoliki au kufungishwa na kasisi wa Kanisa Katoliki.

Na hata kama ingetokea akawa ametoa tangazo la hao mashoga kufungishwa ndoa, ni kweli ingeleta taharuki, lakini Kanisa Katoliki halitayumba. Huko nyuma walikwishawahi kutokea mapapa ambao walifanya mambo ya ajabu, hadi kufikia mmoja kuuawa akiwa madhabahuni, lakini kanisa halikutetereka. Shetani hufanya kazi kwa watu wote, na anawatafuta sana viongozi, akijua kuwa akiwapata hao, wengi wataangamia nao.

Yakumbuke maneno haya
"Nitampiga mchungaji, na kondoo wake watatawanyima"
 
Unaijua hiyo👇👇👇👇
Yohana 6: 61,67,68.

61 Yesu alitambua kwamba wafuasi wake walikuwa wakilalamika kuhusu mafundisho yake. Kwa hiyo akawauliza, “Mafundisho haya yanawaudhi?

67 Yesu akawauliza wale wanafunzi kumi na wawili, “Ninyi pia mnataka kuondoka?”

68 Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
 
Kwanza taarifa ya Papa ilipotoshwa na BBC ambao wamekuwa kila mara wakimchokonoa kwa maswali ili ajibu, wao wapotoshe taarifa ili kuhalalisha uovu wao waliouukubali.

Papa hakusema homosexuals wabarikiwe, yaani uhusiano wao upate baraka, bali alisema wasitengwe, na wakiomba baraka wasinyimwe (lakini haikumaanishwa baraka ya mahusiano yao). Tena akamalizia kwa kusisitiza kuwa ndoa itabakia kuwa ni taasisi inayoundwa kati ya mume na mke. Na akasisitiza kuwa homosexuals wasibaguliwe katika jamii.

Lakini BBC chombo cha habari Uingereza, nchi inayokubali ndoa za jinsia moja, wakaibadilisha habari na kusema kuwa Papa amesema homosexuals wanaweza kubarikiwa kanisani, wakimaanisha watu wa jinsia moja wanaweza kufungishwa ndoa ndani ya kanisa Katoliki. Jambo ambalo ni uwongo. Haijawahi kutokea, haijatokea, na haitatokea watu wa jinsia moja kufungishwa ndoa ndani ya kanisa katoliki au kufungishwa na kasisi wa Kanisa Katoliki.

Na hata kama ingetokea akawa ametoa tangazo la hao mashoga kufungishwa ndoa, ni kweli ingeleta taharuki, lakini Kanisa Katoliki halitayumba. Huko nyuma walikwishawahi kutokea mapapa ambao walifanya mambo ya ajabu, hadi kufikia mmoja kuuawa akiwa madhabahuni, lakini kanisa halikutetereka. Shetani hufanya kazi kwa watu wote, na anawatafuta sana viongozi, akijua kuwa akiwapata hao, wengi wataangamia nao.

Yakumbuke maneno haya
"Nitampiga mchungaji, na kondoo wake watatawanyima"
Uongo sio BBC mabaraza ya maaskofu katoliki nchi mbalimbali hayategemei taarifa za BBC kufanya maamuzi wanachukua Vatican moja Kwa moja

Mabaraza ya nchi ya Maaskofu ya nchi za Malawi,Zambia,Kenya , Nigeria,Poland nk wamempinga Papa waziwazi Kwa kutoa nyaraka za mabaraza kumpinga tamko lake

Hao hawafanyi kazi kutegemea BBC acha uongo wewe
Baraza lolote la maaskofu haliwezi fanya maamuzi kumpinga Papa Kwa kutegemea taarifa za BBC
 
Back
Top Bottom