Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,770
Reaction score
10,665
Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru.

Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi…

Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense.

Ni nani anaevunja amani ; anaedai haki yake ya Msingi au anaezuia mtu asidai haki yake ya msingi ?

Kukataa reform ya Sheria na katiba ni sawa na kukimbia kivuli chako….

CCM mnatumia old version technique kuhandle madai ya wizi wa kura na mfumo wa uchaguzi unaompa nafasi zaidi mgombea wa CCM huku wagombea wengine wakiwq ni Mamluki : kutumia old technique za kuweka watu gerezani na kuwapa kesi za mchongo huko ni kukimbia kivuli chenu….

Hizo njia zilifanya kazi miaka ile ; miaka ya sasa watu wanaelimu na mnaonesha ni jnsi gani mpo domant kwenye akili zenu.

Lissu sio Muhaini….Hata Mungu wako ewe Samia anajua hivo; hata yule Mama yako wa Kizimkazi anajua hivyo.

Fanyen Mabadiliko acheni Ujanja Ujanja na Uhuni wa kishamba, it is not worth it

Dr Megalodon Mushi
Ottawa
 
Attachments

  • v09044g40000d028l87og65hfunhvqq0.mp4
    11.5 MB
Ukiwaambia CCM watende haki, wanakwambia unataka kuvuruga amani na utulivu.

Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru.

Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi…

Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense.

Ni nani anaevunja amani ; anaedai haki yake ya Msingi au anaezuia mtu asidai haki yake ya msingi ?

Kukataa reform ya Sheria na katiba ni sawa na kukimbia kivuli chako….

CCM mnatumia old version technique kuhandle madai ya wizi wa kura na mfumo wa uchaguzi unaompa nafasi zaidi mgombea wa CCM huku wagombea wengine wakiwq ni Mamluki : kutumia old technique za kuweka watu gerezani na kuwapa kesi za mchongo huko ni kukimbia kivuli chenu….

Hizo njia zilifanya kazi miaka ile ; miaka ya sasa watu wanaelimu na mnaonesha ni jnsi gani mpo domant kwenye akili zenu.

Lissu sio Muhaini….Hata Mungu wako ewe Samia anajua hivo; hata yule Mama yako wa Kizimkazi anajua hivyo.

Fanyen Mabadiliko acheni Ujanja Ujanja na Uhuni wa kishamba, it is not worth it

Dr Megalodon Mushi
Ottawa
Tatizo la katoliki hawana consisaitency ni ndumila kuwili qakipewa kitu hapo watakua kimya kabisa.
 
Hiyo ni taasisi ya dunia, hawana njaa hao. Mama mwenyewe akipigiwa simu chap anapanda pipa anaenda.
 
Najivunia kuwa Mkatoliki. Huku hakuna watu vilaza.
 
Back
Top Bottom