Wakatoliki gani walifunga?

Wakatoliki gani walifunga?

Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Wewe unafikiriaje mbona nawe hukufunza au sio mwenzao?
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?

Wewe ulikuwa unawatafuta mtaani. Waliofunga walikuwa kanisani.
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Waliofunga na kusali walifunga hao uliokua nao waache na mambo yao.
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Utaacha lini udini
 
nyie ndio mnaofunga kula maana akili zenu ziko tumboni,,kula ndio mnachowaza.
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Kuna watu mna vipawa maalumu; unakula na Wakatoliki wote kwa wakati mmoja?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
uislamu unakuchanganya wewe
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Kwani kusali na kufunga maana yake ni nini? Mfano, kwani wakati wa uchaguzi ni Watanzania wote hupiga kura? Jumapili ni Wakristo wote husali? Kwenye mikutano ya kisiasa ni wanachama wote wa vyama vya siasa huhudhuria shughuli au mikutano ya kisiasa? Nataka tu kukuonyesha kama ulikuwa na baadhi ya Wakatoliki, na ukaona kwamba walikuwa hawasali, na wala muda wote uliokuwa nao hukuona wakifunga, haina maana kwamba Wakatoliki wote hawakusali, na wala hawakufunga. Pili, hao uliokuwa nao, naamini hawakukushirikisha ratiba yao ya kusali na kufunga, na kama muda uliokuwa nao hukuona wakisali na kufunga, haina maana kwamba hawakusali na kufunga muda ambao hamkuwa pamoja. Hivyo, understanding yako ya kusali na kufunga inaweza kuwa haijitoshelezi. Na pia sioni kama ilikuwa vibaya kusali na kufunga ili Mwenyezi Mungu atujalie tuchague kwa uhuru na haki, na tuwachague viongozi wazuri. What's wrong with that?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Wakatoliki ni wengi sana hata makanisa yao hayawatoshi hata kidogo.
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Wewe subiri ukale mbususu 72 zenye chuchu saa 6
 
Wakatoliki hawafungi kula mzee, jitafakari kuhusu hicho kichwa ulichobeba kama kinakufaa au ufanyiwe exchange na Kuku.
Kuku, wamwekee NAZI kabisa, maana hajui theolojia ya wakatoliiki anafananisha na kwao,wanakosafiri kwa ndege kwenda kufanya ibada ya kumpiga mawe Shetani 😅😅😅
 
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Ngoja waje wanaodaiwa ndio waumini lkn midomon matusi tupu vip tutaweza kutofautisha kati ya awa waumini na ili genge la wahuni ngoja tuone kama kweli RC inaweza kurea vijana wao!!!
 
Matayo 6:16-18

Mafundisho Kuhusu Kufunga​

16 “Mnapofunga, msionyeshe huzuni kama wafanyavyo wanafiki. Maana wao hukunja nyuso zao ili kujionyesha. Nawaambieni kweli kwamba wao wamekwisha kupata tuzo yao. 17 Lakini mnapofunga, jipakeni mafuta kichwani na kuosha nyuso zenu 18 ili kufunga kwenu kusijulikane kwa mtu ila Baba yenu aliye sirini; na Baba yenu aonaye katika siri atawapa thawabu.” Akiba Ya Mbinguni.
 
Back
Top Bottom