wakatoliki hawafungi kwa kushindaa njaaTunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Zaidi ajue huwa hawajitangazi hata wakiamua kufanya mfungo wa kiroho na kimwili.Funga ya Christians siyo ya kubadilisha Usiku kuwa Mchana
Kwani nani kakwambia wanafunga kama nyie kobaz mkiona mtu anapita mbele yenu anakula basi mna amua kumpiga fimboTunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Tulikesha usiku wa kuamkia Jumapili. Tuligawana saa za kusali kulingana na vyama vya kitume pamoja na jumuiya.Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Una Malaria 2 kwenye ubongo...!!!Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Funga yao sio funga yenu ulijue hiliTunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Wanajifunga pingu? Au sijafahamu?Wakatoliki hawafungi kula mzee, jitafakari kuhusu hicho kichwa ulichobeba kama kinakufaa au ufanyiwe exchange na Kuku.
Misso missondo ndio waliofungaWakatoliki hawafungi kula mzee, jitafakari kuhusu hicho kichwa ulichobeba kama kinakufaa au ufanyiwe exchange na Kuku.
Kufunga siyo kuacha kula mzee ni kujiona kimatendo na kufanya toba. Hivi ndio maana ya kufunga maana wakatoliki walianza kufunga kabla Mohamad hajazaliwaWanajifunga pingu? Au sijafahamu?
Hujajibu hoja. Wamefunga nini?Wamelishambulia hili jinga mpaka limetoka nduki kwenye uzi wake lenyewe😀😀
Kabla Muhammad kuzaliwa kulikua na wakatoliki? Inaama Vatican ilianzishwa kabla Muhammad? Unaakili kweli wewe?Kufunga siyo kuacha kula mzee ni kujiona kimatendo na kufanya toba. Hivi ndio maana ya kufunga maana wakatoliki walianza kufunga kabla Mohamad hajazaliwa
Uliosoma nao shule wote ulishakutana nao? Nchi kubwa hii kijanaTunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
Kwa hivyo sio wote bali wachadema tu?Uliosoma nao shule wote ulishakutana nao? Nchi kubwa hii kijana