Wakatisha tamaa (Downers)


Vyovyote vile...
Huo unaoongelea ni ubinafsi wa ajabu sana.Kumfanya mwenzako aamini hawezi hiki na kile eti ili asishiriki hiki au kile sio sahihi....mtu mstarabu atashauri na kuelewesha kwanini haoni itakua vizuri ushiriki na sio kukwambia huwezi.
 
That's the way to go MTM.
Kweli kuna watu hawajitambui/hawafanyi kwa makusudi maana ndivyo walivyo tu....wanaona makosa kwenye kila kitu hata pale ambapo hayapo!!

Very true Lizzy, sometimes tunawakdiria wenzetu na kushindwa kutambua the forces, drive, chances and balance inayowapeleka mbele....

I am sure, most of us have questioned some of people along our journey of life... personally i have had many of the downers, but i alwasy use them as new benchmarks

But sometimes it depends on the person who is on the receiving end, wengine wanakata tamaa, wengine wanatumia changamoto kama ngazi
 
ooppps... there goes my tears!!!

daym i am touched

She does that...
Imagine all that talent could have been lost kwaajili ya maneno tu ya mtu ambae hakumtakia maendeleo.
 
Fact............
 

Thanks,it cannot be said any better!
 

Hapo sasa ndipo kazi ilipo...kuna watu hata criticism hawapokei vizuri achilia mbali kuwa discouraged.Imagine mtu ambae hajiamini alafu wewe uje umpe uhakika kabisa kwamba he/she is good for nothing...utammaliza kabisa.Kama wote tungekua na uwezo wa kudeal na hawa watu kwa namna ambayo ingetufaidisha labda nao wangetoweka taratibu.
 
Fact............

We Kloro unasupport kuambiwa ''wewe sio lawyer mzuri...huwezi shinda kesi hata ujitahidi vipi'' ili usijihusishe na kesi ambayo haionekani ni nzuri kwako kiusalama badala ya mtu kukueleza na kukuelewesha bila kukupunguzia kujiamini kwako???
 
Nakubaliana na wewe kwenye hao the so called "downers", lakini kwa kesi ya huyu jamaa nakubaliana na rejao nadhani hakuwa downers hehehe huyu nadhani alipekecha pekecha akaona hii galofriend yangu ikiingia kwenye muziki itakuwa kiburudisho cha maproducer akaona isiwe tabu acha nimwambie ana sauti la jeshi tu.
 
We Kloro unasupport kuambiwa ''wewe sio lawyer mzuri...huwezi shinda kesi hata ujitahidi vipi'' ili usijihusishe na kesi ambayo haionekani ni nzuri kwako kiusalama badala ya mtu kukueleza na kukuelewesha bila kukupunguzia kujiamini kwako???
Kuna idara hata soulmate wangu akuwe na kipaji basi nitamsawishi asishiriki na aking'ang;ania nitatumia pia triki ya kumdiscourage, na hii nitaiichukulia kama ni part of love rescue.
 

WIVU tu!!
Kuna idara hata soulmate wangu akuwe na kipaji basi nitamsawishi asishiriki na aking'ang;ania nitatumia pia triki ya kumdiscourage, na hii nitaiichukulia kama ni part of love rescue.
What if that person doesn't know how to deal with discouragement well???
Unaweza uamwachia mtu makovu ndani kwa ndani ujue.
 
WIVU tu!!

What if that person doesn't know how to deal with discouragement well???
Unaweza uamwachia mtu makovu ndani kwa ndani ujue.
Of coz nitamuencourage kwenye something else, na nitahakikisha anafurahia. Nilimdiscourage ili kulinda penzi bana sio kumuharibia maisha.
Confession: hapo ulipoandika "wivu tu" hehehe hakyanani umeniturn on, wee mtoto utaniuwa walahi (bek to topik)
 
Huyu dada Stacy jamani,tena am glad ameingia hadi top 12,inasikitisha how her bfriend emotional crippled her to blv she is bad singer.

Watu wa style hii wapo sana tu na mara nyingi kama wazazi hawakukujengea confidence tokea mdogo hapo tena inakuwa shughuli ukikutana na hawa watu wanaopenda ku ''put others down''
Kwa mtazamo wangu wapo wa style kadhaa
1.Anaweza fanya bila yeye kujua akidhani she/he ia protecting you or giving you right direction mfano wazazi
2.Kuna wale wanafanya kwa wivu,anajua ukifanikiwa na kutoka basi kama yeye alikuwa anajiona superior basi utamfunika na kuwa inferior e.g mashosti wa uongo ,bad patners na hata co workers
3.Kuna wale ambao ni emotional abusers ,tena hawa ndio wabaya kabisa,yeye atakwambia kila kitu huwezi,mbaya,hupendezi e.g husbands even parents

Binafsi nadhani msingi unaanzia kwa wazazi tujifunze kuwaambia wanatu they can be whatever they want and give they right direction.mzazi akishakwambia hivyo no one will ever take it away from you.
 


To be successfull you need friends,to be VERY successfull you need enemies.....
 
Kwan' vipi Boss?

siamini hujawahi kukutana na mtu
aka 'doubt ' unachotaka kukifanya unlesss 'ulikuwa genius' shuleni
kila siku wa kwanza.....so wakajikuta automatically wanashindwa kukushauri 'kuwa carefull' na kadhalika..
 
siamini hujawahi kukutana na mtu
aka 'doubt ' unachotaka kukifanya unlesss 'ulikuwa genius' shuleni
kila siku wa kwanza.....so wakajikuta automatically wanashindwa kukushauri 'kuwa carefull' na kadhalika..

It can be that or as Lizzy said the downers might know I won't pay any heed to whatever they say so they don't bother

All in all there is no single incident I can remember where a person wanted/put me down
 
Kuna always kazi yao ni kukosoa tu, wanaku-underestimate ila wao waonekane dominant...be careful with those people. Ninao hapa mapacha majirani, mmoja anamkandamiza sana mdogo wake mpaka sasa dogo anatishia kujinyonga na anamlaumu sana maza-ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…