Wakati yote yanafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

Wakati yote yanafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

Mimi siamini kama nchi yetu ina hao watu! Wangekuwepo hata 50 tu tusingekosa angalau watano wazalendo, ambao hata kama viongozi wanakuwa siyo wazalendo hao majasusi wetu wangekuwa wanatumia umahiri wao kutibua njama za kuliumiza taifa letu bila kujali zinafanywa na nani.

Hebu jiulize kwa mfano; Kama nchi hii ina watu hao walishindwa nini kuling'amua lile dege la Qatar lililoingia nchini likakaa zaidi ya siku moja na kuiba wanyama hai zaidi ya 103 na nyara zingine na kuondoka bila kuguswa! Walishindwa nini kutumia umahiri wao wa kijasusi kulilipua??!

Na swali la uchokozi kidogo.... Hivi aliyekuwa waziri wa ulinzi wakati wa aibu ile bado yupo anadunda? Bado anaaminiwa na nchi hii?!
 
Wale jamaa ni kama polisi tu wanapenda sifa na rushwa
 
Kuna Mzee mmoja aliwahi kuniambia kwasasa tutarajie mengi maana ripoti zinasomwa Na kufuatiliwa tofauti Na awamu tangulizi sasa wewe unadhani ni ripoti gani zinazo somwa na nani anaepeleka hizo ripoti?
 
Mimi siamini kama nchi yetu ina hao watu! Wangekuwepo hata 50 tu tusingekosa angalau watano wazalendo, ambao hata kama viongozi wanakuwa siyo wazalendo hao majasusi wetu wangekuwa wanatumia umahiri wao kutibua njama za kuliumiza taifa letu bila kujali zinafanywa na nani. Hebu jiulize kwa mfano; Kama nchi hii ina watu hao walishindwa nini kuling'amua lile dege la Qatar lililoingia nchini likakaa zaidi ya siku moja na kuiba wanyama hai zaidi ya 103 na nyara zingine na kuondoka bila kuguswa! Walishindwa nini kutumia umahiri wao wa kijasusi kulilipua??!
Na swali la uchokozi kidogo.... Hivi aliyekuwa waziri wa ulinzi wakati wa aibu ile bado yupo anadunda? Bado anaaminiwa na nchi hii?!
wale jamaa walikamilisha taratibu zote za kuingia nchini Na kupakia wanyama ni hao waliopewa dhamana ya kusimamia Sheria walikosa uzalendo ikiwa ni pamoja Na ofisi kuu ambako ripoti zote huwasilishwa
 
Labda nimekosea kuuliza, hivi system haihusiki kabisa na Rasilimali za nchi hii kwa namna moja au nyingine?

Kama inahusika, wakati yote hayo yanatokea wao walikuwa wapi? Walilisaidiaje Taifa?
Hivi unaelewa wanaposema system imeparalyze wanamaanisha nini
 
Walikuwa baa za makumbusho wakikata kilaji! Hivi hawa wa hapa mbona mfumo na mtindo wao wa uwajibikaji na utendaji ni tofauti na wa nchi nyinginezo duniani ambao huchunguza na kuarest na kushtaki? Hapa kwetu imekaaje kwani hata polisi tu hawahusiki kukamata wahamiaji. Hizi sheeia ni za kuzifanyia total overhaul!
 
Mimi siamini kama nchi yetu ina hao watu! Wangekuwepo hata 50 tu tusingekosa angalau watano wazalendo, ambao hata kama viongozi wanakuwa siyo wazalendo hao majasusi wetu wangekuwa wanatumia umahiri wao kutibua njama za kuliumiza taifa letu bila kujali zinafanywa na nani.

Hebu jiulize kwa mfano; Kama nchi hii ina watu hao walishindwa nini kuling'amua lile dege la Qatar lililoingia nchini likakaa zaidi ya siku moja na kuiba wanyama hai zaidi ya 103 na nyara zingine na kuondoka bila kuguswa! Walishindwa nini kutumia umahiri wao wa kijasusi kulilipua??!

Na swali la uchokozi kidogo.... Hivi aliyekuwa waziri wa ulinzi wakati wa aibu ile bado yupo anadunda? Bado anaaminiwa na nchi hii?!
Mkuu kama si kuogopa nilitaka kusema hata kiongozi akionekana
ni tatizo kwa Taifa kulikuwa na uhalali wa kumlipua tu!
 
Sasa kuna usalama gani wa taifa kwa haya yanayotokea? Twiga kupandishwa ndege wakati Airport kuna ofisi za hawa usalama wa taifa, Acacia kutuachia mashimo na kufanya kazi bila kusajiliwa... Hakuna usalama wa taifa hapo, kuna usalama wa ccm na viongozi wao..
Halafu ukitaka kuhoji hili swala unaambiwa oh sijui hayahojiwi popote kumbe ni kuficha ushenzi tu unaoendelea baina yao na viongozi
Mbona Director wa FBI anakalishwa kitako na Trump?

Hii idara ya kufumuliwa yote, uchafu tu, yaani kwa yaliyotokea hao Director generals wa wakati wa Mkapa na Kikwete walitakiwa wawe ndani sasa hivi

TISS iliondoka na kina mzee Mzena
 
Waliohusika sio waajiriwa?
Polisi akifanya kosa si hukamatwa na polisi mwingine, mi ningekuwa huko nahisi
kuna watu ningewalipua au ningelipuka nao kwa maslahi mapana ya Taifa.
 
Kumbuka wale ni waajiriwa Kama waajiriwa wengine sidhani kama unaweza kumkolomea boss wako
 
Siielewi Tasisi inakazi gan hasa!...

Ata hivyo baadhi ya Member wana ukwasi uliokithiri....

Naisi sheria bado haijawapa meno na na hisi pia system yao ya kazi inawalakin.... Ni muhimu JPM aifanyie mabadiliko yenye Tija kama kweli ni Mzalendo wa kweli wataifa hili
 
hao wapo kutoa taarifa za kiintelejesia kua wapinzani wasifanye mkutano hapo kutatokea uvunjifu wa amani wengine wanakesha kutetea ccm tu wkt rasilimali zetu zinasepa tu
 
Labda nimekosea kuuliza, hivi system haihusiki kabisa na Rasilimali za nchi hii kwa namna moja au nyingine?

Kama inahusika, wakati yote hayo yanatokea wao walikuwa wapi? Walilisaidiaje Taifa?
Wale wanafanya kazi kwa kuangalia upepo wa kiongozi aliyepo; kama mpigaji wanapotezea, huku na wao wanapiga vile vile, kama ni wa aina ya ngosha basi na wao wanajifanya kuchakarika kuibua maovu....
 
Back
Top Bottom