Wakati yote yanafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

Wakati yote yanafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

TISS ni watu wa kuheshimu sana kwa mujibu wa majukumu na mafunzo waliopata.

Hawa jamaa wao wanajua vitu vingi vya kiserikali na au hata nje ya nchi kiasi kuwa hata Mkuu wa Nchi anaweza asijue.

Kazi yao ni kuhakikisha usalama wa watu, mipaka, mahusiano baina ya nchi na nchi, utumishi, kubaini matatizo kwa njia za taaluma ya TISS kisha kuyatatua kwa kiinteljensia.

Tumeibiwa sawa, TISS wanafahamu haya, ila nani anahusika ktk harakati za kuingia mukataba na kuamuru GO AHEAD.

Waacheni TISS watulinde sisi sote waTz, hawajamaa hawalali pengine hata siku 3 kwa kazi maalumu ya upelelezi wa jambo au kuhsu mtu fulani.

Mungu ibariki Tanzania. 1taifa ni uzalendo.
 
Wameidhoofisha TISS imekuwa kikundi cha majungu tuu hawana meno wala hawana sheria ni majungu yamewajaa na njaa kibao....Rais anawa control mwanzo mwisho na pia njaa zao wanauana wenyewe kwa wenyewe!!! Hakuna tiss zaidi ya kikundi kilicho chini ya President na DG wao!!! Wengine wanalia njaaa tuuuu.......hata wakio na kushauri wasipoamua kuifanyia kazi......inapotea hewaniii
 
Amiri Jeshi mkuu ndio TISS nambari one. Anapoingia front, hakuna yeyote anayeweza kupinga.
 
Back
Top Bottom