Labda nimekosea kuuliza, hivi system haihusiki kabisa na Rasirimali za
nchi hii kwa namna moja au nyingine?
Kama inahusika, wakati yote hayo yanatokea wao walikuwa wapi?
Walilisaidiaje Taifa?
Labda nimekosea kuuliza, hivi system haihusiki kabisa na Rasirimali za
nchi hii kwa namna moja au nyingine?
Kama inahusika, wakati yote hayo yanatokea wao walikuwa wapi?
Walilisaidiaje Taifa?
Karamagi, Mkapa, Kikwete and the co wana unyonge gani? Nyundo kwenye bendera ni kwa ajili ya kuwasukubisha na kuwapigilia misumari msalabani walala hoi.Eti ni kweli kuwa chama tawala ni mtetezi wa wanyonge?