Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,022
- 144,380
Kwa jinsi Jiwe alivyomuonga,hatachelewa kukiitisha hicho kikao.Utakumbuka maneno yangu siku si nyingi.Sahau kwa sasa... Kuna mkutano wa kimataifa mjini siku kadhaa zijazo...!
Kumbuka maneno yangu pia...Kwa jinsi Jiwe alivyomuonga,hatachelewa kukiitisha hicho kikao.Utakumbuka maneno yangu siku si nyingi.
Sidhani kama kutakuwa na hicho kikao pamba ziko nyingiKama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.
Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.
Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
WatajijuuuuuKama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.
Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.
Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Ukisoma ule waraka kwa makini zaidi unaona kuna mambo makubwa mno yapo ndani yake ambayo hayakusemwa waziwazi... kifupi tu ni kwamba kuna mambo hayaendi sawa kiuongozi kitaifa.
Ni wakati wa CCM ku-act on it sababu wajibu wa CCM ni kuhakikisha nchi ipo salama na wananchi wake wanatembea kifua mbele sababu CCM ndiyo mtawala halisi wa nchi aliyepigiwa kura...sasa basi kuwaachia watu wa hovyo kuropokaropoka shutuma nzito nzito bila ushahidi ni hatari sana tena mbaya zaidi bila kuchukuliwa hatua za kisheria hii dalili ya udhaifu.
Lazima chama kisimame wima, ni muda sasa wa CCM kutoa makucha yake, hata kama ikibidi kigoda kubetuliwa for the better Tanzania bac sawa!!
CCM kazi ipo ..mchuzi umemwagia na Ugali lazima lazima uishe, sasa utaliwaje liweje mimi simo?
Shetani karogwa na wachawi, hii ni zaidi ya "Ze Comedy"!Yule mwenyekiti wao pamoj na kujinasibu ni kichaa ila atakuwa kalogwa na bashite na msiba
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!
Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe
Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
Ulitaka wakifute chama?Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.