Wakati wowote kuanzia sasa sitashangaa kusikia Chama cha Kijani Kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,887
143,983
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Vile vile msije kushangaa kusikia walalamikaji wakigeuziwa kibao kwa kututomia vikao halali vya chama kushughulikia malalamik yao na badala yake wametoa malalamiko yao nje ya utaratibu wa chama hivyo nao wao kuishia kupewa onyo.

Hata hivyo,niwaambie tu kuwa kikao hico,endapo kitafanyika,itakuwa ni hadaa tu ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
 
Ukisoma ule waraka kwa makini zaidi unaona kuna mambo makubwa mno yapo ndani yake ambayo hayakusemwa waziwazi... kifupi tu ni kwamba kuna mambo hayaendi sawa kiuongozi kitaifa.

Ni wakati wa CCM ku-act on it sababu wajibu wa CCM ni kuhakikisha nchi ipo salama na wananchi wake wanatembea kifua mbele sababu CCM ndiyo mtawala halisi wa nchi aliyepigiwa kura...sasa basi kuwaachia watu wa hovyo kuropokaropoka shutuma nzito nzito bila ushahidi ni hatari sana tena mbaya zaidi bila kuchukuliwa hatua za kisheria hii dalili ya udhaifu.

Lazima chama kisimame wima, ni muda sasa wa CCM kutoa makucha yake, hata kama ikibidi kigoda kubetuliwa for the better Tanzania bac sawa!!

CCM kazi ipo ..mchuzi umeshamwagika na Ugali huu lazima uishe....sasa utaishaje ishaje hiyo siyo kazi yetu....
 
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Sidhani kama kutakuwa na hicho kikao pamba ziko nyingi
 
Watajijuuuuu
 
Ukisoma ule waraka kwa makini zaidi unaona kuna mambo makubwa mno yapo ndani yake ambayo hayakusemwa waziwazi... kifupi tu ni kwamba kuna mambo hayaendi sawa kiuongozi kitaifa.

Ni wakati wa CCM ku-act on it sababu wajibu wa CCM ni kuhakikisha nchi ipo salama na wananchi wake wanatembea kifua mbele sababu CCM ndiyo mtawala halisi wa nchi aliyepigiwa kura...sasa basi kuwaachia watu wa hovyo kuropokaropoka shutuma nzito nzito bila ushahidi ni hatari sana tena mbaya zaidi bila kuchukuliwa hatua za kisheria hii dalili ya udhaifu.

Lazima chama kisimame wima, ni muda sasa wa CCM kutoa makucha yake, hata kama ikibidi kigoda kubetuliwa for the better Tanzania bac sawa!!

CCM kazi ipo ..mchuzi umemwagia na Ugali lazima lazima uishe, sasa utaliwaje liweje mimi simo?

Hujui kwa jinsi ninavyoomba Mungu hicho kigoda kibetuliwe ni Mungu anajua.................... na zile nyara za serikali alivyogawa juzi kama mahindi yake aliyoyalima shambani mmmmh kila mtu alichoka
 
Hahaha na kufa hafi,hata kuugua pia haugui mtachoka, mpaka amalize muda wake hahaha mtakuwa mmlelia hadi kamasi zimekauka.
Mwacheni tu kesha shindikana.
 
Kumbe kweli ccm kuna Waka moto
Ccm kadri itikisikavyo ndivyo iimarikavyo!

Wazee wa Chama watamwambia Mkuu kuwa hofu anayotenegenezewa na Wahalifu lengo lake ni kumuweka mbali na Wastaafu ili mwishowe abaki peke yake ili wamyumbishe

Rais ataeleweshwa na Inshallah ataelewa
 
Kama headingi inavyojieleza,hivi ndivyo watu hawa wanaweza kufanya wakati wowote ule kuanzia sasa lengo likiwa ni kujaribu kusafisha hali ya hewa na baadae watoke hadharani na kupiga picha ya pamoja lengo likiwa ni kupeleka ujumbe kwa umma kuwa hali ya mambo ndani ya chama ni shwari ingawa si kweli.

Hata hivyo,niwaambie tu hio itakuwa ni hadaa ya kisiasa na kujaribu kupeana matumaini ambayo hayapo na kikao kikiisha na wakishatawanyika, malumbano na minyukano vitaendelea chini kwa chini kwani ufa teyari ni mkubwa na vinyongo vya muda mrefu vimetamalaki japo watu walikuwa kimya ila wakiwa na maumivu rohoni.

Mwacheni Jiwe na vibaraka wavune walichopanda kwani huu ndio wakati wenyewe.
Ulitaka wakifute chama?
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom