Wakati wote

Wakati wote

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
i1358_mwalimu.jpg
 
Wamependeza.... Mdada kwa mbali utafikiri Rihana....
 
Hapa waliishaona au bado?Maana naona mkuu ana pete kama ya ndg zangu na mama ndio kabisa hana kitu,dooh Mh.JKN kumbe alikuwa amejua kitu cha maana.
Wamepndeza kweli kweli.

Hivi hawa marais wetu wa sasa wana picha kama hizi/ I mean wao na wake zao?
 
Hapa waliishaona au bado?Maana naona mkuu ana pete kama ya ndg zangu na mama ndio kabisa hana kitu,dooh Mh.JKN kumbe alikuwa amejua kitu cha maana.

Oooopppsss, they were happily married
 
Kumbe Salma Kikwete ame-copy kwa maria Nyerere kuvaa 'mtandio' begani miaka ya 60, duuu halafu anajifanya kabuni yeye bongo
hata kabla salma kikwete hajawa first lady wanawake wengi sana si mama nyerere tu walikuwa wanaweka vitenge au khanga begani. Sidhani kama yeye (salma kikwete) anajifanya ame invent yeye style hiyo hapa bongo! Hapo kasingiziwa!
 
Ni kitu cha ukweli haswa! Nampenda sana huyu mama.
 
Hapa waliishaona au bado?Maana naona mkuu ana pete kama ya ndg zangu na mama ndio kabisa hana kitu,dooh Mh.JKN kumbe alikuwa amejua kitu cha maana.

walioana kwa ndoa ya Jadi, badae wakapata ubarikio.

lakini dah! JK wa ukweli nimemkubari enzi hizo kuibuka na kitu kama hicho. kumbuka hapo hakuna cha Mchina wala mjapani, yaani ni kitu na box (orijinali)
 
Kwa picha hii, lazima wanafamilia/ndoa wawe na adabu kama si taifa lote kuwa na maadili. yaani hata kama ulikuwa na katabia furani ka ajabu ajabu utajishtukia tu na urudi kwenye mstari. wizi wizi na udokozi wa mali za umma , 10% hapo hakuna.
 
yaani we acha tu.siamini kama angekuwapo yote haya yanayotokea yangetokea. TANZANIA GIZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Back
Top Bottom