Wakati wewe unalia maisha magumu wenzako wanafanya haya..

Amen RA
 
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Hawa kina hood na abood utajiri wao wakurithishwa toka kizazi hadi kizazi,tangu nakuwa hawa kina hood walikuwa na biashara ya mabasi.Sio watu wakushindana nao hawa.
 
Hawa kina hood na abood utajiri wao wakurithishwa toka kizazi hadi kizazi,tangu nakuwa hawa kina hood walikuwa na biashara ya mabasi.Sio watu wakushindana nao hawa.
Uoga wako ndiyo umaskini wako!
 
Ona coments za watu ndo utajua wengi ni wa aina gan?
 
Sijakuelewa mkuu umetumia lugha ya code unamaanisha nikajiunge kwenye Isl*** State? Maana nimejaribu kuunga dot na I'd yako
ISIS NI GODESS. .
.OSIRI ISIS NA HORUS. ..Google utapata jibu....ISIS NI GODESS OF 1OOOO NAMES. .GODESS OF MAGIC. ..
 
Mh Abood ameingiza magari aina ya Youtong mapya zaida ya 20

Watu tufanye kazi tuache kulalama

Mwenye nacho atazidi kuongezewa na ambaye hana hata kile kidogo atanyanganywa
Abood kashakula sana tokea awamu zilizopita kwaiyo watu wa kariba na hirimu yake hawawezi kukumbwa na ombwe la ugumu wa maisha unaolalamimiwa na walio wengi
 
Mkuu;
Nipe bank isiyo ogopwa kukopa, halafu usijitamkie tu maneno mkuu. Ni bank ipi inayo kopesha?? Nadhani una kitu unapokea kwao si bure
***
mengi ni ya mk opo / wakati h uo nilipokuwa najaribu kukopa yalikuwa 120ml./ ukiwa na 60 unakopeshwa under WA RRANT, UKIWA NA 120ML, UNAKOPESHWA LINGINE.
 
***
mengi ni ya mk opo / wakati h uo nilipokuwa najaribu kukopa yalikuwa 120ml./ ukiwa na 60 unakopeshwa under WA RRANT, UKIWA NA 120ML, UNAKOPESHWA LINGINE.

Mkuu;
Si unaona huo mpango?? Ukiwa na 60m unakopeshwa la 120m. Sasa, mtu mwenye hela ndeefu namna hiyo, aweze kuyalipia nusu ya bei magari mengi hivyo, wataka kumlinganisha nawe?? Acheni tu jamani, wala sijaona mantiki ya kumwandika Abood humu.
Kama angelikuja hapa akasema kuwa anayetaka na kama ana nusu bei aende kwake amwelekezze jinsi ya kupata lake. Ningeliona mantiki ya kumwandika humu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…