Wakati wa taharuki makinika na kila taarifa

Huu uzi unaeleweka kwa wenye afya ya akili tu

Na hawa kwenye kundi hili wamo?

IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Nchi flani hivi ya kitofauti sana, idadi ya watu wake nayo si haba!

Sifa yake kuu ilikua upole, upendo na amani bila ukahaba!

Ghafla imekuwa nchi ya chuki, husda na kurushiana shaba

Mkatiko mkuu baina ya waume wake na wana

Na hatukujuana kwa makabila, rangu wala chama

tulipendana kwa kukosoana bilakutishana na kutolewa kwa dhamana

Miaka saba tunawindana kwa chuki na uhasama

Ee Mungu muumba wa hii dunia, usiliache taifa lako litie mwanga!!

Ni lazima turejee tulikotoka. Pa kuanzia ni kusisitiza katiba kufuatwa na kila mtu.

Waliotufikisha hapa watupishe.

Huu ni muda wa kuhakikisha mawazo ya kila mtu kupitia sanduku la kura yanazingatiwa.
 
Nchi flani hivi ya kitofauti sana, idadi ya watu wake nayo si haba!

Sifa yake kuu ilikua upole, upendo na amani bila ukahaba!

Ghafla imekuwa nchi ya chuki, husda na kurushiana shaba

Mkatiko mkuu baina ya waume wake na wana

Na hatukujuana kwa makabila, rangu wala chama

tulipendana kwa kukosoana bilakutishana na kutolewa kwa dhamana

Miaka saba tunawindana kwa chuki na uhasama

Ee Mungu muumba wa hii dunia, usiliache taifa lako litie mwanga!!
Amka umsifu Bwanaa eeh Israeli
Nuru yako imkuzukia.
Wokovu wa Bwana huu karibu kuja
Yeye amesikia kilio chetu..
Ameona tabu zetu
Ametakasa kwenda kwetu
Nimludishie Bwana Nini kwa haya yote aliyonitendea🙏
 
Nchi flani hivi ya kitofauti sana, idadi ya watu wake nayo si haba!

Sifa yake kuu ilikua upole, upendo na amani bila ukahaba!

Ghafla imekuwa nchi ya chuki, husda na kurushiana shaba

Mkatiko mkuu baina ya waume wake na wana

Na hatukujuana kwa makabila, rangu wala chama

tulipendana kwa kukosoana bilakutishana na kutolewa kwa dhamana

Miaka saba tunawindana kwa chuki na uhasama

Ee Mungu muumba wa hii dunia, usiliache taifa lako litie mwanga!!
Ee Mungu muumba wa hii dunia, usiliache taifa lako litie mwanga!

Mungu husikia maombi ya wenye haki na kuwabariki watu wake.

Umakini wa andishi lako unaonesha dhati ya kilichoko moyoni mwako..kina ukamilifu yoga. Mungu atakurehemu sawa sawa na mapendo yake.
 
Miisho mingine hii tunaipalilia wenyewe.

Ukanunue kamba. Ukajitundike mwenyewe. Kisha tuseme mwisho umefika?

Hatimaye CAF katulazimisha kucheza mechi yao bila mashabiki. Kina Prof. Mchembe, Mgaya, Makube, Gwajima nk. Wapo tu wanaendelea kuhamasisha nyungu?

Aaah wapi!
Uganga wa kienyeji kwenye maswala ya kisomi unatuangamiza
 
Kwa maneno ya Mwalimu (rip) nchi huendeshwa kwa kufuata katiba. Nchi si shamba la mtu au la kikundi cha watu.

Katika katiba kila kitu ni wazi. Nini cha kufanya katika hatua zote. Kwamba baba kazaa na binti yake?

Huyo hatufai katika familia wala jamii. Kwamba labda binti ni under 18? Huyo miaka 30 inamhusu. Kwa hilo hakuna kuremba!

Halipo vumbi la kusubiri litulie wala kwa mshindo kutulia.

Tujifunze sana umuhimu wa kufuata, kuzingatia na kuheshimu katiba. Mengineyo haya ni kujilisha upepo tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Katika maisha yako yote epuka kitu kinaitwa haramu... Haramu haionjwi...haramu ni tamu...haramu huzaa karamu ya kushibisha tumbo na kuifurahisha nafsi.

Haramu hutia upofu na kunyima uono wa kiutu, haramu huminya haki na kuleta ukatili

Kamwe usijaribu kuonja haramu..ukianza hutaacha na hutataka kuacha mpaka itakapokugeukia na kukuharamisha na wasioipenda

Tuliwafanyia wengine uhuni..sasa uhuni unataka kutugeukia sisi tena sisi kwa sisi wenyewe.

Sasa si katiba, si ratiba! Ni katiza na kataza

* KATIZA - OVER TAKE!
 
kupitia hili saga kuna watu wanatakiwa wakae mafichoni kwa aibu wanayokwenda kuipata.

lakini kwa vile aibu ni koti la mwenye utashi,utashangaa baada ya kiporo kuchacha mropokaji anaandika gazeti jingine.

mshana wewe ni kati ya watu wachache,wepesi sana kuingia mkenge.
 
Nchi flani hivi ya kitofauti sana, idadi ya watu wake nayo si haba!

Sifa yake kuu ilikua upole, upendo na amani bila ukahaba!

Ghafla imekuwa nchi ya chuki, husda na kurushiana shaba

Mkatiko mkuu baina ya waume wake na wana

Na hatukujuana kwa makabila, rangu wala chama

tulipendana kwa kukosoana bilakutishana na kutolewa kwa dhamana

Miaka saba tunawindana kwa chuki na uhasama

Ee Mungu muumba wa hii dunia, usiliache taifa lako litie mwanga!!
Great thinker mkuu. Kuna watu wamenyea ardhi ya asali na nyama!!
 
Nchi flani hivi ya kitofauti sana, idadi ya watu wake nayo si haba!

Sifa yake kuu ilikua upole, upendo na amani bila ukahaba!

Ghafla imekuwa nchi ya chuki, husda na kurushiana shaba

Mkatiko mkuu baina ya waume wake na wana

Na hatukujuana kwa makabila, rangu wala chama

tulipendana kwa kukosoana bilakutishana na kutolewa kwa dhamana

Miaka saba tunawindana kwa chuki na uhasama

Ee Mungu muumba wa hii dunia, usiliache taifa lako litie mwanga!!
Hayo maombi sijui muelekeo wake ni upi?
 
Ukatubu sana kwa roho na kweli
Ukafanye kitubio cha unafique
Ukafanye kitubio cha uzushi
Ukafanye kitubio cha uongo
Ukafanye kitubio cha chuki
Inakupasa kutubu kila ulalapo na kumshukuru Mungu kila uamkapo!

Kila siku inajitegemea bwashee!
 
Back
Top Bottom