donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #61
Hahaha ha dah mkuu umeniacha hoiWe jamaa. Nakukubali sana huwa hizi picha ukirusha nazisevu hafu nazitumia kwa kazi maalamu asante sana Mkuu nawadaka wadada wengi kwa kuwakaribisha vyakula by SMS ubarikiwe Mkuu mungu azidi kukupa nguvu za kupiga picha zaidi !!![emoji124] [emoji124] [emoji41]