The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,283
- 49,323
Hahaha
Pole, utapona tuu mdogo mdogo!!!
Uliniharibia sana kwa Mama Yeyoo, na mimi ningekua napikiwa mahanjumath
Hahaha
Pole, utapona tuu mdogo mdogo!!!
Cha darMimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...View attachment 725875
Mkuu nafugaa...hapo nakula mifugo yangu ila ipo mkoani,,nachinja najaza kweny freezer kubwaWee jamaa tuko nchi moja au upo mkoani? Hizo mambo mjini imeshakua anasa.
Mkuu nafugaa...hapo nakula mifugo yangu ila ipo mkoani,,nachinja najaza kweny freezer kubwaView attachment 725887
We jamaa. Nakukubali sana huwa hizi picha ukirusha nazisevu hafu nazitumia kwa kazi maalamu asante sana Mkuu nawadaka wadada wengi kwa kuwakaribisha vyakula by SMS ubarikiwe Mkuu mungu azidi kukupa nguvu za kupiga picha zaidi !!![emoji124] [emoji124] [emoji41]
Ni kweli mkuu....hapo unajimegea tu kidogo kidogoView attachment 725899
Wabillahi TawfiqHuon mazingira ya kinyumban hapo...hahaha mwanaume wa dar hamilizi hiloView attachment 725884
Aloooo!!!!Mimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...View attachment 725875
Humu ukicatch feeling utaumia kichwa bure tu..Hahahahaaaaa
We acha tu, humu kila mmoja hula lunch ya kiwango cha juu bana lakini kila mmoja anajua siri juu yake
Matumizi mabaya ya sebule (nje ya mada).Huon mazingira ya kinyumban hapo...hahaha mwanaume wa dar hamilizi hiloView attachment 725884
Uko vizuri mkuu kama ni self-madeMimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...View attachment 725875
Yeyusha na kitoko mkuuSawa mkuu...hapo nayeyusha na nyagi usiku hahaha
HahahaHahaha umenifanye nim'kumbuke sana masanja mkandamizaji na wimbo wake wa Ugali.
YeapChakula cha dar hiko
Mkuu let's talk biz..kwa nyakati hizi za kuelekea pasaka, nahitaji mfugo wako mmojaMkuu nafugaa...hapo nakula mifugo yangu ila ipo mkoani,,nachinja najaza kweny freezer kubwaView attachment 725887