Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,495
HahahaHahaha hilo ndio zimeenea hapo..visahani vya udongo mzigo wote usingeenea hapo
Siamini bwana
HahahaHahaha hilo ndio zimeenea hapo..visahani vya udongo mzigo wote usingeenea hapo
HahahaHata mimi sinia nimelitilia mashaka lakini usafi wa bidhaa nzima unanifanya niaminik kwamba ni home made. Mafuta yaliyotumika ni masafi mno ndio maana hata ndizi na nyama ziko na huo muonekano, ni aghalab kukuta hiyo hali kwenye biashara.
Heee kwann?Hahaha
Siamini bwana
Hilo sinia jamani..Heee kwann?
Hahaha
Inategemea na sehemu yenyewe!! Zipo sehemu wanatengeneza kwa usafi pia!!
Hilo sinia jamani..
Halafu nimekuuliza utamaliza sinia lote hilo?!
Huon mazingira ya kinyumban hapo...hahaha mwanaume wa dar hamilizi hiloHilo sinia jamani..
Halafu nimekuuliza utamaliza sinia lote hilo?!
HahahaAmekanusha, hata mimi niliuliza hilo swali, jemedari hayupo peke yake.
Sawa bwana shemejiNakubaliana kabisa na wewe, msisitizo wangu upo zaidi kwenye usafi wa mafuta. Kwenye biashara yataatumika kwa nyama nyingi. Nyumbani ukishaivisha kiasi mnachotumia zoezi linaishia hapo. Mafuta yanakua bado masafi
Kwenye parachichi ungeweka kachumbarMimi nimetengeneza mwenyewe lakini naona nimebug...View attachment 725875
Hahaha sipo peke yangu..ila nikikuonyesha ya jana nilikua peke yangu utashangaa,,kwenye sinia hilo hiloHilo sinia jamani..
Halafu nimekuuliza utamaliza sinia lote hilo?!
Sawa bwana shemeji
Hahaha sipo peke yangu..ila nikikuonyesha ya jana nilikua peke yangu utashangaa,,kwenye sinia hilo hilo
Jana sio mdudu..jana kuku kienyeji mkuuMkuu punguza kasi, unapiga mdudu jana na leo?
OooohHahaha sipo peke yangu..ila nikikuonyesha ya jana nilikua peke yangu utashangaa,,kwenye sinia hilo hilo
HahahaHaya mambo yote nisingeyajua kama sipiki. Huu ushemeji kwa nani yena na mimi nasumbuka na upweke huku naimba ule wimbo wa Nandy...nitapona mdogomdogo?
Sawa mkuu...hapo nayeyusha na nyagi usiku hahahaOoooh
Hapo sawa
Jana sio mdudu..jana kuku kienyeji mkuu