Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati

Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati

Screenshot_20260816-150515~2.png
 
Mbio za Mwenye zimepitwa na wakati
Mkuu Kamu,@kamundu,kwanza naunga mkono hoja kupitwa na wakati kwa ukimbizaji wa kizamani,hakuna haja kuendelea kutumia mafuta mazito yenye mi moshi yenye sumu ya hydromonoxde,wakimbiza mwenge wengi hufa vifo vya magonjwa ya ajabu ajabu!Tunaweza kutumia methene, butane na hata gesi!

Lakini dhima ya mwenge bado ni very valid
karibu mitaa hii kuhusu Mwenge wa uhuru Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?. na Ingekuwa ni Amri Yake, Magufuli Angefutilia Mbali Mbio za Mwenge!, Jee Ni Amri ya Nani?!. na Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru ila pia kwenye mkesha wa Mwenge, mahali unapolala kuna shamrashamra zake na ile starehe yetu ile... bwerere!. Mapokezi Ya Mwenge Dodoma: Wilaya ya Bahi Yafanya Kufuru!.
P
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom