Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Baada ya kusoma comments za wadau nikipata muda nitadrop a true story about my jobless life since 2020 nikiwa chuo pale UCC

Based on a true story kuanzia maisha yangu ya chuo, maisha yangu ya forex na msoto niliopitia baada ya kufilisika kwenye forex mpaka nikaingia site nakujifunza ufundi, kubeba zege, kubeba tofali, na saidia fundi mpaka sasa mm ni mason japo sina uzoefu mkubwa...

In general afya ndio mtaji wa kwanza wa mwanadamu, fanya vyote ila usisahau kuilinda afya yako
uta ni tag
 
Nimesoma uzi huu kwa kweli watu wamepitia msoto Ila maisha safari wengi washatoboa wachache wapo kwenye situation.
Mine is a little different
Mara tu baada ya kumaliza elimu yangu ya chuo haukupita mwezi nikapata kazi kwene international NGO mshahara ulikua unatosha na safari kibao.
Nilifanya kwa muda wa miaka 9.baada ya hapo kazi ikakata nyumba ipo kwa linta.kiinua mgongo nilichopata Kama milioni 4 kutoka kazini nikaezeka upande.ujenzi ulinila sana hela sikua na ramani yoyote nyumba niliyokua nakaa Kodi imeisha.nikahamia kwangu.
Nilitamani kila kazi kuanzia kuuza nyanya hadi maandazi nilishawahi fanya kazi nalipwa 90 kwa mwezi niliona muujiza
Fikiria kutoka mshahara wa milioni 2.8 mpaka elfu tisini na nikashukuru jinsi msoto ulivonikamata
Japo Bado nasota Ila angalau nilipata kazi za hapa na pale za mwezi mwezi Ila nimejifunza kwamba.
Kujijenga ni muhimu hata kama una ndugu wanakuzunguka

Nikikumbuka kipato changu chote miaka 9 nimeishia kuwasomesha wadogo zangu ambao kwa Sasa wananidharau inanouma
Ila mlininanga jamani mweee.Hakuna marefu yasiyo na ncha jaribu lilishaisha.
 
Nimepandisha wazungu mlimani Kilimanjaro kama mgumu (Porter).. Nimefanya kazi ngumu nyingi duniani, lakin hakuna kazi ngumu duniani kama hiyo. Ndo maana wanaitwa wagumu.
Nikiwa huko enzi hizo unapewa mzigo wa kg 30 upandishe, hapo bado bag lako la nguo za baridi..hivyo unakuta unabeba kama 40 kichwani au mgongoni, na unatembea ukipanda mlima kwa masaa sio chini ya 8 kwa siku.

Nimeshuhudia wagumu wakifa njiani kwaajili ya njaa na mzigo. Mtu anatua mzigo anaegemea jiwe apumzike, ndo mazima anatangulia! Wengine wanakufa kwa baridi. Ule mlima umeua watu kibao sana, ukiwa unapanda utaona tu sehemu kibao watu wamekusanya mawe, ujue hapo mtu alikufa. Sasa hizo ni nyingi sana. Kuna wakati unanyeshewa mvua mwanzo mwisho, unaloa na kadri unapanda ndivyo baridi inaongezeka. Unafika camp site jioni umeloa, na ni baridi kali, na nguo hadi za kwenye bag zimeloa.

Kupanda mlima kwenyewe ni kugumu balaa.. hasa ukipitia machame route, upo na kilo 40 begani na unapanda vigongo vya ghafla vya kutosha.. kweli ile kazi ni ya wagumu, nimeshuhudia hawa wanajeshi mnaowaamini, wakichemsha kupanda mlima ule na vibeg vyao vya kg 20. Naamini kama serikali wanataka kweli makomando wa ukweli wanatakiwa waka recruit wagumu wa mlima Kilimanjaro. Wale ndo wagumu kweli kama jina lao linavyojulikana. Duniani hakuna kazi ngumu zaidi ya "ugumu".

Afadhali siku hizi serikali imeweka msisitizo kupima mzigo usizidi kg 20, zamani ulikuwa unapigwa hata kg 40, na unatakiwa utembee zaidi ya km 30 kwa siku, na ongezea bag lako mgongoni. Unatembea umeelemewa na mzigo kwa masaa na masaa mpaka unajiuliza umemkosea Nini Mungu? Au hiyo ni adhabu unapewa hapahapa duniani?Unakuta mwamba unatembea masaa zaidi ya 8 una kg 55 mwilini. Ndo maana wanaume wengi wa mikoa ya kaskazini ni watu wagumu kwasababu wengi wamepitia hii kazi au za kuchimba madini Mirerani, ambayo ni ngumu lakin haifiki ugumu wake kwa hii hata nusu. Na inatakiwa utembee uwapite wazungu njiani, wakifika kambini wakute mmeishapigia matent yao ya kulala na kuwapikia chakula. Siku zote wa kwanza kuamka, mwisho kulala. Noma sana ugumu.

Screenshot_20230214-080524_1.jpg

WAGUMU
 
Mwaka Jana nilipigika Sana madeni Kila Kona. Nikafikiria Sana nikaona hapa dili ni kuwa BABA NTILIE, nikatafuta masufuria na sahani na vyombo vingine nikapata Ni biashara inalipa kwa maeneo ya huku nilipo kwani nilishafanya utafiti kwa baadhi ya MAMA NTILIE. Tatizo kupika sijui ikabidi niuze vyombo vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
nimecheka sana kaka japo siyo mazuri
 
Nimepandisha wazungu mlimani Kilimanjaro kama mgumu (Porter).. Nimefanya kazi ngumu nyingi duniani, lakin hakuna kazi ngumu duniani kama hiyo. Ndo maana wanaitwa wagumu.
Nikiwa huko enzi hizo unapewa mzigo wa kg 30 upandishe, hapo bado bag lako la nguo za baridi..hivyo unakuta unabeba kama 40 kichwani au mgongoni, na unatembea ukipanda mlima kwa masaa sio chini ya 8 kwa siku.

Nimeshuhudia wagumu wakifa njiani kwaajili ya njaa na mzigo. Mtu anatua mzigo anaegemea jiwe apumzike, ndo mazima anatangulia! Wengine wanakufa kwa baridi. Ule mlima umeua watu kibao sana, ukiwa unapanda utaona tu sehemu kibao watu wamekusanya mawe, ujue hapo mtu alikufa. Sasa hizo ni nyingi sana. Kuna wakati unanyeshewa mvua mwanzo mwisho, unaloa na kadri unapanda ndivyo baridi inaongezeka. Unafika camp site jioni umeloa, na ni baridi kali, na nguo hadi za kwenye bag zimeloa.

Kupanda mlima kwenyewe ni kugumu balaa.. hasa ukipitia machame route, upo na kilo 40 begani na unapanda vigongo vya ghafla vya kutosha.. kweli ile kazi ni ya wagumu, nimeshuhudia hawa wanajeshi mnaowaamini, wakichemsha kupanda mlima ule na vibeg vyao vya kg 20. Naamini kama serikali wanataka kweli makomando wa ukweli wanatakiwa waka recruit wagumu wa mlima Kilimanjaro. Wale ndo wagumu kweli kama jina lao linavyojulikana. Duniani hakuna kazi ngumu zaidi ya "ugumu".

Afadhali siku hizi serikali imeweka msisitizo kupima mzigo usizidi kg 20, zamani ulikuwa unapigwa hata kg 40, na unatakiwa utembee zaidi ya km 30 kwa siku, na ongezea bag lako mgongoni. Unatembea umeelemewa na mzigo kwa masaa na masaa mpaka unajiuliza umemkosea Nini Mungu? Au hiyo ni adhabu unapewa hapahapa duniani?Unakuta mwamba unatembea masaa zaidi ya 8 una kg 55 mwilini. Ndo maana wanaume wengi wa mikoa ya kaskazini ni watu wagumu kwasababu wengi wamepitia hii kazi au za kuchimba madini Mirerani, ambayo ni ngumu lakin haifiki ugumu wake kwa hii hata nusu. Na inatakiwa utembee uwapite wazungu njiani, wakifika kambini wakute mmeishapigia matent yao ya kulala na kuwapikia chakula. Siku zote wa kwanza kuamka, mwisho kulala. Noma sana ugumu.

View attachment 2516848
WAGUMU
Duuuhh kweli sio paoh
 
Hakika wagumu ndio wanaodumu
 
Uliwahi kusomoa wewe alafu unageuka na kiroba usiku kucha
 
Hope Ulipata mzungu maisha yakaendelea
 
Ilikua 2013 wakati nasubiri matokeo ya kidato cha nne kama sikosei ilikua mwezi january.Kutokana na ukata wa kukaa home mda mrefu huku nikikosa hata pesa za vocha na bi mother akiwa amepigika nikawa nina njaa iliokithiri(sio njaa ya kula njaa ya hela).

Jioni ya siku moja kabala ya tukio mshikaji wangu Dullah akaniambia amepata kazi ya ukarani kwenye ghala la korosho kesho yake anaanza,nikamwambia basi nami anifanyie mpango akasema sawa atajaribu.

Siku ya tukio niko zangu home asubuhi kama saa 7 na dk kadhaa.,Dullah akaja kuniita nikatoka nje nikakutana na huyo mama tukawa watatu mimi,mama na dula,mazungumzo yalikua hivi.
Mama: hujambo?
Mimi: sijambo shikamoo
Mama: dulla ameniambia na wewe unataka kazi ndo nikamtum aje kukuita,kama upo tayari tuongozane.
Mimi : ndio mama nipo tayari na kwakua nimeshanawa ngoja nivae tu simpo twende(mpaka hapa nikajua ukarani)

Njiani yule mama akatuuliza "hivi mmekunywa chai?" Sisi tukamjibu kwa pamoja "bado"...mara akasema "eeee msije mkaniangukia huko,tukifika nitawanunulia chai"..nikauliza "kwani mama ni kazi gani,si kuandika tu"? Sikujibiwa ,mara paap tukawa tumefika kiwanda(ghala) cha korosho pale mbagala kokoto.Kweli akatuagizia chai na chapati mbili mbili,wakati nakunywa chai nilikutana na jamaa mmoja anaitwa robert(nilimzoea kwa jina la jirani) ikabidi aniulize vipi dogo mbona uko hapa ? Nikamjibu "nimekuja kufanya kazi bro humo kiwandani" akasema utaweza ndugu yangu kubeba gunia za korosho ? Nikamjibu mimi sibebi gunia tumeambiwa tutakua makarani.,akasema sawa ila kama ni kubeba gunia ndugu yangu wewe hutaweza humo ndani ni kama jehanam,Dullah akaninong'oneza achana nae mama mwenyewe ni kiongozi na ndo kasema tutakua makarani.

Mara saa 2:30 ikafika tukawa tumeingia tukaambiwa tubadilishe nguo tukavaa za kazi(hapa kichwani niakanza kujawa na masawali) Yule jirani akasema haya dogo karibu jehanam..aisee unabeba gunia(kiroba) la kwanza likaenda la pili likaishia kati wahindi wakaanza kupiga kelele nimemwaga korosho na kuchana kiroba(wakuu gunia kuliweka mgongoni sio kazi kazi ipo kwenye miguu namaanisha balance ndo ishu). Ikabidi nihamishiwe kwenye kupakia korosho maana kubeba siwezi huko nako ilikua balaa gunia zilikua nyingi balaa halafu hakuna vitendea kazi hakuna mask wala gloves mikono ilichubuka ukitaka kupumzika wahindi wanapiga kelele .

Yule Dullah mara akapokea simu(ya uongo) ghafla nikamuona anaanza kulia akaulizwa kulikoni akasema amefiwa na babu yake doh ikabidi aruhusiwe asepe nikawa nimebaki mimi na wengine.Mpaka kufika saa 6 mchana niko hoi mikono vidonda vitupu,nakumbuka nilimwambia Yule Jirani dah hapa si tayari tumeshamaliza akasema hapana dogo bado kabisa nikazidi kuchoka na kujuta nikamuuliza tena inamaana maisha yako jirani ndo yako hapa akasema ndio nina miaka 5 na nilianza kama wewe ila kwa sasa nishazoea na wewe utazoea,akaanza kunitajia wengine huyu ana miaka 3,7 mpaka 9 aisee nikastaajabu sana mara akaja muhindi tukahamishiwa kiwanda kingine kubeba gunia tupu ili ziletwe huku zipakiwe aisee ilikua balaa gunia zina vumbi nikaishiwa nguvu kwa kukisa hewa ikabidi nitolewe nje ya stoo...

Baada ya hapo tukarudishwa kiwanda kile cha mwanzo kwa ajili ya kuendelea kupakia mpaka kufika huo muda nikikohoa natoa kohozi jeusi nikipenga kamasi hivyo hivyo nikasema hapa hapana ngoja nitoroke..walinzi wakaniuliza unaenda wapi nikasema nimeagizwa mmoja akauliza mbona umebeba na nguo zako sikuangalia nyuma nikawa nishafungua mlango nikaondoka.Kufika home kifua na mwili unaniuma nakohoa balaa nikamuona Dullah aliponiona alicheka sana akasema yeye hakufiwa ila aliona kazi imemshinda alitafuta kisingizio(huyo dullah ni mbavu ila alichemka sasa jiulize hiyo kazi ilikua ngumu kiasi gani).

Ilipofika saa 1 usiku akaja yule mama kuniulizia akasema mbona nimeondoka sijaaga na hela sikuchukua,nikamuuliza hiyo hela hapo unayo? Akasema hana kaicha nikaifuate kesho yake nikamjibu hapana nimesamehe...wiki nzima niliumwa kifua na mwili na tangu siku hiyo nikaapa sitakuja kufanya kazi kwa muhindi wale jamaa ni wauwaji kazi kubwa vifaa hakuna au duni.

Ndefu samahani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Stori yako imefanana vile vile na yangu.

sasa sisi ilikuwa godown la tumbaku
tunabeba magunua ya tumbaku.

Nilimwambia msimamizi kuwa hiyo kazi naiweza na ni baada ya kuona vitoto vinabeba.Nikaambiwa kesho njoo uanze kazi.

La haula mzee siyo poa nilitwishwa gunia la kilo 90 begani unapandisha ngazi kupakia fuso trip 3 nkasikia kiuno na miguu vimeseparate, nkashindwa huku naona wale madogo mpka wanakimbia na mizigo kama hawana akili.

Nkahamishwa kweny mizani kazi yangu ni kupima gunia ili karani abebe halafu ipakiwe kweny fuso, huko guni la kilo 70,80,90,100,110 mnatakiwa kulibeba na kulipima mnakuwa wawili mnashikizana ila mnatakiwa kuwa na speed ya 5G ili wale wabebaji wasisimame,

nakumbuka niliingia saa 2 asubuhi, kufika saa 3 nikaanza kuwaza namna ya kukimbiaa.

Nguo kwenye begi slipa mkononi na tumbaku kichwani nanuka kama sigara nduki ghetto.

Siku 3 mwili unauma ni mwendo wa panadol na diclopar.Nikaiheshimu elimu, nikaona bora ntembeze CV tu
 
Back
Top Bottom