Wakati Tz na dunia inamshangaa EL kurudi CCM, mimi namshangaa mkuu ataweza kukaa na hii team ya EL, RA na Mtemi?

lukoma

JF-Expert Member
Jul 1, 2013
2,995
2,245
Sasa watanzania wanajua rangi halisi ya kiongozi wao. Dhamira halisi ya kiongozi wao na utashi halisi wa kiongozi wao. Yako maswali mengi ya kujiuliza, leo tutafakari maswali mawili tu.

Swali:
1. Je ile agenda ya kupinga ufisadi na rushwa bado kipaumbele chake au imekufa kama agenda ya viwanda ilivyozikwa kimya kimya?

2. Kama amewaza kula, kunywa na kufanya kazi na hii team ya EL, RA na mtemi kwa miaka karibu 20 akiwa waziri atashindwa kufanya nao kazi huu mwaka 1 au miaka 6 iliyobaki?
 
Ccm ni kusanyiko la wezi, majambazi, wauaji, mafisadi na kila aina ya wachafu

Sent using Jamii Forums mobile app
1551532968288.png

Hawa ni mchwa
 
Sasa watanzania wanajua rangi halisi ya kiongozi wao. Dhamira halisi ya kiongozi wao na utashi halisi wa kiongozi wao. Yako maswali mengi ya kujiuliza, leo tutafakari maswali mawili tu.

Swali:
1. Je ile agenda ya kupinga ufisadi na rushwa bado kipaumbele chake au imekufa kama agenda ya viwanda ilivyozikwa kimya kimya?

2. Kama amewaza kula, kunywa na kufanya kazi na hii team ya EL, RA na mtemi kwa miaka karibu 20 akiwa waziri atashindwa kufanya nao kazi huu mwaka 1 au miaka 6 iliyobaki?

Kwani uujui ule wimbo ccm ni ile ile,sawa na kubadili mvinyo tu
 
Unashangaa nn kurudi wakati keshamaliza Kazi aliyotumwa kuokoa ccm isife 2015 maana ccm ilisimamisha wagombea wawili ukawa na ccm ndo mbinu aliyotumia kabila wa Congo kumuweka tsekedi na ramazani.Slaa alijua hili
 
Kampuni ikianza kupata hasara ni kutafuta wanaoweza kuipeleka mbele na kupata faida
Kama wengine wameshindwa ku deliver wanachoambiwa bora kuajiri wenye experience hata kama wapo silicon valley

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom