mchungaji7
Senior Member
- Feb 2, 2017
- 187
- 404
Wana MMU habarini za asubuhi?
Niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Maandiko yanasema "Usiyaamshe mapenzi kabla ya wakati wake"
Muda muafaka wa kuanza kufanya mapenzi ni pale unapokuwa umeona au umeolewa vinginevyo unakuwa unatenda dhambi.
Wadada mkichunga hili mtajiongezea thamani na hata ndoa zitaongezeka. Kuna msema unasema kwanini nifuge ng'ombe wakati napata maziwa bure?
Nawasilisha.