Wakati mwingine wanasiasa wawe wakweli, Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa hakuwa na ziara rasmi Tanzania

Una akili ndogo kama ubongo wa kuku. Ni hivi, Msigwa anayezungumzia hapa ni Mbunge wa Iringa mjini sio Msigwa Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu, try to use common sense dude!!
Imenibidi nicheke.....huyo jamaa ni mjiiiiinga...amekuja kabisa kifua mbele na kutupia comment bila kujua Msigwa anayezungumziwa hapa si wa ikulu....!!!!
 
WEWE NDIO MJINGA ULIEPITILIZA, MAELEZO YALIYOTOLEWA YANAJITOSHELEZA, WEWE UNAENDELEA KUBISHANA, ELEKEZA BASI HUO UJANJA KAMA ULIOFANYIKA NI UJINGA
Kwa ujinga wangu ningebaki nikakutana nae na tukfashea ideas, unaacha mgeni unaenda kwenye chama kubadilisha Katiba?? kweli mimi Mjinga
 
Upo sahihi kabisa mkuu Nzi
Nimekosea...walipoibadilisha na kuitwa Swiss International Air Lines hii SwissAir iliyeyuka kama jina la kibiashara.

Wengine tulioikwea enzi hizo mara nyingi,tumelemaa na jina la SwissAir,kama vile tulivyolemaa na ATC wakati sasa ni ATCL.

Asante kwa kunikumbusha!!Mazoea hujenga tabia
Nilihisi ulisema hivyo kwa sababu ya u-old timer.
It's all good chief.
 
View attachment 479510

Naona watu wameibeba hii ya Katibu Mkuu wa UN kama "ajenda" tena,huku namuona Mtatiro akirusha makombora,na huku Mbunge Msigwa akirusha kwa upande wa pili.Vijana nao wamebeba mitandaoni kama ajenda ya kumalizia week kimjadala.

Watu wanatakiwa kuelewa tu,mambo mengine sio lazima tuingize siasa saaaanaa.António Guterres hakuwa na ratiba ya ziara ya Tanzania.Ziara yake ilipangwa kufanyika Somalia ili kuonana na Rais mpya kuhusu baa la njaa na ukame unaolikumba eneo hilo.

Sehemu ya pili ikawa Kenya kukutana na Kenyatta,na hii ni kwa sababu,nchini Kenya kuna kambi kubwa sana ya wakimbizi ya Dadaab, inayokaliwa na Wasomali,ambao sera ya Trump ya katazo la Wasomali kuingia US imewaathiri...Umoja wa Mataifa lazima iwahikikishie Kenya ushirikiano ktk kipindi hiki cha mabadiliko ya sera za uhamiaji nchini Marekani.

Maana hivi karibuni,wakimbizi wengi wenye asili ya Somalia ambao walikuwa wafanyiwe "resettlement" na Shirika la Wahamiaji la Kimataifa (IMO),kutoka kambi ya Dadaab kwenda Marekani wamezuiliwa kutokana na sera mpya ya Marekani,hivyo kuwafanya waendelee kusalia Kenya.

Hapa Tanzania alikuwa tu "On Transit",sababu ndege aliyotumia kusafiri ni SwissAir.Schedule ya SwissAir ni Zurich-Nairobi-Dar-Zurich.Na inapotoka Nairobi kuja Dsm kabla ya kwenda Zurich,ndege huwa inakaa Dsm zaidi ya saa moja na nusu.Sasa mtu mkubwa kama Antonio hawezi kukaa muda wote huo ktk ndege wakati anaweza kushuka na kufanya mazungumzo ya kidiplomasia na viongozi wa Tz kama wadau wa Umoja wa Mataifa.

Aina hii ya ugeni ni ya kawaida sana katika viwanja vya ndege ambayo hutumika kama "connection centre".Ukienda Jomo Kenyata International Airport VIP Lounge utakutana na Marais wengi na viongozi wengi maarufu wakipiga soga na Mawaziri wa Mashauriano ya Kigeni wakati wakiwa "on transit".Bole International Airport pale Addis Ababa VIP-Lounge humkuti Waziri Mkuu wa Ethiopia,lakini toka mawio mpaka machweo ya jua,viongozi wa kimataifa huwa "On Transit" kuelekea katika safari zao tarajiwa.

Hata kwa kumtazama tu,wale waliowahi kupanda SwissAir First Class,watakubaliana kuwa alichokuwa amekivaa Guterres ni zile pyjamas (pajama) za abiria wa daraja la kwanza ambao hupatiwa ndani ya ndege kwa ajili ya kupumzikia kwa safari ndefu.Dressing code tu ya pyjamas za SwissAir zinaashiria Katibu Mkuu alikuwa "On Transit".Ratiba na Tanzania haikuwepo.

Sio wa kwanza Guterres kupita tu bila kuonana na Rais,wapo viongozi wengi hupita kama "On transit" hapa Dsm,na husalimiana na viongozi wa chini wa serikali.Mfano King Mswati,yeye "refueling point" yake huwa ni Dsm,katika safari zake za kutoka Mbabane kwenda ama Abu Dhabi shopping au sehemu nyingine,kituo chake cha Cattering na refueling ni Dsm.Toka enzi za JK mpaka sasa,huwezi kumkuta JK anakimbizana kumpokea Mswati,bali utamkuta Membe kwa minajili ya kidiplomasia akimsubiri King Mswati.

Uwanja wetu wa Dsm hutumika kwa ajili ya "On Transit Passengers" na "On Transfer Passengers"."On Transit Passengers" ni wale abiria ambao hupita uwanjani wakiwa ndani ya ndege bila kushuka na kuchukua abiria wengine au kushusha na kuunganisha na ndege hiyohiyo kuelekea "destination" iliyokusudiwa.Mfano wa ndege zenye safari ya aina hii Julius Nyerere Int'nal Airport ni SwissAir (Zurich-Nairobi-Dsm-Zurich),Ethiopia Airways (Addis Ababa-Dsm-Znz au Addis-Dsm-Hahaya Comoro),Oman Air (Muscat-Znz-Dsm-Muscat),Mauritius Air nk.

Siku kadhaa kiongozi wa Mauritius alipita Dsm na Mauritius Air na kuunganisha kuelekea Addis Ababa kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika.Toka Sir Seewoosagur Ramgoolam Port Louis kupitia Julius Nyerere International Airport mpaka Addis Ababa.

Walikutana tu na Rais wetu ndani ya ndege,wakapeana mkono na kila mtu akarudi kwenye presidential Suit room yake ya "First class".

Hii ni dalili ya uwanja wetu kukua na kuanza kuwa moja ya "Connection" kubwa ya sehemu mbalimbali za Afrika na dunia.Sasa tunapokea abiria wote wa kutoka Msumbiji kwenda Dubai kupitia Dsm,abiria wa Mayote na Comoro kwenda Dubai.Abiria wa kutoka Mauritius kuja Afrika ya Mashariki na Mashariki ya kati ya Asia.

Tuanze kuzoea,kuwa sio kila abiria ni "mgeni rasmi" wa nchi,wengine wanakuwa wapita njia.Waziri Mkuu wa Ethiopia angekuwa anashinda Airport kama kila kiongozi anayepita Bole Int'nal Airport atamsubiri kumpokea.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm angekuwa anajipanga kila siku kupokea viongozi na mawaziri mkoani kwake,maana ofisi zote kubwa zipo kwake.Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Simiyu ni "mgeni",ila kwenye viunga vya Dsm ni mpita njia tu.

Hence;haikuwa sehemu ya ratiba,ndio maana ni Balozi Mahiga badala ya Rais JPM
Well said...
 
Imenibidi nicheke.....huyo jamaa ni mjiiiiinga...amekuja kabisa kifua mbele na kutupia comment bila kujua Msigwa anayezungumziwa hapa si wa ikulu....!!!!
Mi mwenyewe nimecheka kweli hiyo comment
Lkn hata hivyo barafu kawasaidia sana Kurugenzi ya habari Ikulu kutoa ufafanuzi wa mambo mengi,toka enzi za Bombadia...sema hawamuelewi maana huyu huyu ndio alituletea habari za uwanja wa Chato
 
Hivi mnaosema alikuwa on Transit ...yaani atoke Jomo Kenyatta Airport aje on Transit DAR ? Kwa wale mnaojua safari za Anga .....yaani alikuja kupanda Fast jet au Precision au Bombadier ?
jaribu kusoma kitu kinaitwa "Freedoms of the air" ukisha elewa ndo uje utoe comment upya
 
View attachment 479510

Naona watu wameibeba hii ya Katibu Mkuu wa UN kama "ajenda" tena,huku namuona Mtatiro akirusha makombora,na huku Mbunge Msigwa akirusha kwa upande wa pili.Vijana nao wamebeba mitandaoni kama ajenda ya kumalizia week kimjadala.

Watu wanatakiwa kuelewa tu,mambo mengine sio lazima tuingize siasa saaaanaa.António Guterres hakuwa na ratiba ya ziara ya Tanzania.Ziara yake ilipangwa kufanyika Somalia ili kuonana na Rais mpya kuhusu baa la njaa na ukame unaolikumba eneo hilo.

Sehemu ya pili ikawa Kenya kukutana na Kenyatta,na hii ni kwa sababu,nchini Kenya kuna kambi kubwa sana ya wakimbizi ya Dadaab, inayokaliwa na Wasomali,ambao sera ya Trump ya katazo la Wasomali kuingia US imewaathiri...Umoja wa Mataifa lazima iwahikikishie Kenya ushirikiano ktk kipindi hiki cha mabadiliko ya sera za uhamiaji nchini Marekani.

Maana hivi karibuni,wakimbizi wengi wenye asili ya Somalia ambao walikuwa wafanyiwe "resettlement" na Shirika la Wahamiaji la Kimataifa (IMO),kutoka kambi ya Dadaab kwenda Marekani wamezuiliwa kutokana na sera mpya ya Marekani,hivyo kuwafanya waendelee kusalia Kenya.

Hapa Tanzania alikuwa tu "On Transit",sababu ndege aliyotumia kusafiri ni SwissAir.Schedule ya SwissAir ni Zurich-Nairobi-Dar-Zurich.Na inapotoka Nairobi kuja Dsm kabla ya kwenda Zurich,ndege huwa inakaa Dsm zaidi ya saa moja na nusu.Sasa mtu mkubwa kama Antonio hawezi kukaa muda wote huo ktk ndege wakati anaweza kushuka na kufanya mazungumzo ya kidiplomasia na viongozi wa Tz kama wadau wa Umoja wa Mataifa.

Aina hii ya ugeni ni ya kawaida sana katika viwanja vya ndege ambayo hutumika kama "connection centre".Ukienda Jomo Kenyata International Airport VIP Lounge utakutana na Marais wengi na viongozi wengi maarufu wakipiga soga na Mawaziri wa Mashauriano ya Kigeni wakati wakiwa "on transit".Bole International Airport pale Addis Ababa VIP-Lounge humkuti Waziri Mkuu wa Ethiopia,lakini toka mawio mpaka machweo ya jua,viongozi wa kimataifa huwa "On Transit" kuelekea katika safari zao tarajiwa.

Hata kwa kumtazama tu,wale waliowahi kupanda SwissAir First Class,watakubaliana kuwa alichokuwa amekivaa Guterres ni zile pyjamas (pajama) za abiria wa daraja la kwanza ambao hupatiwa ndani ya ndege kwa ajili ya kupumzikia kwa safari ndefu.Dressing code tu ya pyjamas za SwissAir zinaashiria Katibu Mkuu alikuwa "On Transit".Ratiba na Tanzania haikuwepo.

Sio wa kwanza Guterres kupita tu bila kuonana na Rais,wapo viongozi wengi hupita kama "On transit" hapa Dsm,na husalimiana na viongozi wa chini wa serikali.Mfano King Mswati,yeye "refueling point" yake huwa ni Dsm,katika safari zake za kutoka Mbabane kwenda ama Abu Dhabi shopping au sehemu nyingine,kituo chake cha Cattering na refueling ni Dsm.Toka enzi za JK mpaka sasa,huwezi kumkuta JK anakimbizana kumpokea Mswati,bali utamkuta Membe kwa minajili ya kidiplomasia akimsubiri King Mswati.

Uwanja wetu wa Dsm hutumika kwa ajili ya "On Transit Passengers" na "On Transfer Passengers"."On Transit Passengers" ni wale abiria ambao hupita uwanjani wakiwa ndani ya ndege bila kushuka na kuchukua abiria wengine au kushusha na kuunganisha na ndege hiyohiyo kuelekea "destination" iliyokusudiwa.Mfano wa ndege zenye safari ya aina hii Julius Nyerere Int'nal Airport ni SwissAir (Zurich-Nairobi-Dsm-Zurich),Ethiopia Airways (Addis Ababa-Dsm-Znz au Addis-Dsm-Hahaya Comoro),Oman Air (Muscat-Znz-Dsm-Muscat),Mauritius Air nk.

Siku kadhaa kiongozi wa Mauritius alipita Dsm na Mauritius Air na kuunganisha kuelekea Addis Ababa kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika.Toka Sir Seewoosagur Ramgoolam Port Louis kupitia Julius Nyerere International Airport mpaka Addis Ababa.

Walikutana tu na Rais wetu ndani ya ndege,wakapeana mkono na kila mtu akarudi kwenye presidential Suit room yake ya "First class".

Hii ni dalili ya uwanja wetu kukua na kuanza kuwa moja ya "Connection" kubwa ya sehemu mbalimbali za Afrika na dunia.Sasa tunapokea abiria wote wa kutoka Msumbiji kwenda Dubai kupitia Dsm,abiria wa Mayote na Comoro kwenda Dubai.Abiria wa kutoka Mauritius kuja Afrika ya Mashariki na Mashariki ya kati ya Asia.

Tuanze kuzoea,kuwa sio kila abiria ni "mgeni rasmi" wa nchi,wengine wanakuwa wapita njia.Waziri Mkuu wa Ethiopia angekuwa anashinda Airport kama kila kiongozi anayepita Bole Int'nal Airport atamsubiri kumpokea.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm angekuwa anajipanga kila siku kupokea viongozi na mawaziri mkoani kwake,maana ofisi zote kubwa zipo kwake.Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Simiyu ni "mgeni",ila kwenye viunga vya Dsm ni mpita njia tu.

Hence;haikuwa sehemu ya ratiba,ndio maana ni Balozi Mahiga badala ya Rais JPM
Dah, kweli akina Bashite wako wengi...yaani uongo wa kitoto unakuja kutuongopea hapa. Kwanza kabisa Huyo Katibu mkuu wa UN hajavaa pajamas za Swiss Air kama unavyodai, kavaa sweta lake toka nyumbani...ukitaka kuhakikisha google " swiss air first class pajamas" utaziona ziko nyingi tu na hazifanani hata chembe na hilo sweta alilovaa Katibu mkuu. Kwahiyo sio kweli alikua on transit. Pili, Katibu mkuu kakaa bongo siku moja nzima na wala sio lisaa au masaa mawili. Get ur facts right kabla ya kuja kutueleza vitu vya uongo hapa.
 
Attachments

  • Screenshot_2017-03-11-13-19-19.png
    Screenshot_2017-03-11-13-19-19.png
    235.3 KB · Views: 25
Asante sana barafu wewe ni mmoja ya Great Thinker ambao wanaendelea kutoa ufafanuzi kwenye mambo mbalimbali bila kuingiza ushabiki wa kisiasa hasa Aviation Industry.Ningependa kujua progress haya issue mbalimbali

1.Progress na challenge ya ujenzi wa Terminal 3
2.Tangu kuja kwa Bombadier vipi biashara inaendaje ATCL (flow ya pax ikoje)
3.Status ya usalama kwenye airport baada ya kufungwa scanner za kukagua mizigo Terminal 1 na Terminal 2
4.Ule moto uliotokea Terminal 2 mwezi January
 
Kwa hiyo Boss wa UN ni mzururaji?Yule mfalme wa Morocco aliyekuwa anashikshika wasichana alikuwa na ziara maalum?Kiongozi kuwa na ziara maalum viashiria vyake ni vipi?Alishindwaje kiongozi wa nchi kuhairisha kikao cha baraza la mawaziri kwa muda hata wa saa 1 na kuongea na mgeni?
 
Unafiki mtupu, Kwenye ofisi za serikari alifuata nini, unadhani UN ni wazembe kiasi hicho hata wasiweze kujua ndege ingekaa muda gani kabla ya kuondoka, Tanzania yetu dah!
 
Ofisi gani mkuu hiyo ya serikali unayoisema?
Huyu aliishia Airport,hakutoka hata nje ya jengo la Airport,hapo unapomuona na chumba cha wageni VIP wanatumia wanapokuwa wanasubili ndege au wameshuka kutoka ktk ndege.Hapo sio ofisini
 
Dah, kweli akina Bashite wako wengi...yaani uongo wa kitoto unakuja kutuongopea hapa. Kwanza kabisa Huyo Katibu mkuu wa UN hajavaa pajamas za Swiss Air kama unavyodai, kavaa sweta lake toka nyumbani...ukitaka kuhakikisha google " swiss air first class pajamas" utaziona ziko nyingi tu na hazifanani hata chembe na hilo sweta alilovaa Katibu mkuu. Kwahiyo sio kweli alikua on transit. Pili, Katibu mkuu kakaa bongo siku moja nzima na wala sio lisaa au masaa mawili. Get ur facts right kabla ya kuja kutueleza vitu vya uongo hapa.
Njoo taratibu mkuu trick utaaibika
Mi sijasema sweta alilovaa,nimesema pyjama...sina haja ya kukuongopea,facts nayokupa ni kuwa alivaa pajama.Nasema hivyo sbb nazielewa sio nasimuliwa au na-google.Usikariri kwa kuzi-google,bali kwa kuzivaa na kuziona.

Uwe na aibu kidogo,katibu mkuu hajakaa siku nzima,alikaa saa moja tu,na hakuvuka hata eneo la uwanja bali aliishia chumba cha VIP Terminal Two uwanjani,baada ya hapo alirudi kwenye ndege na kuondoka.
Ndege ilfika saa nne na dakika kumi na kuondoka saa tano na dakika ishirini.Kwako saa moja ni siku nzima??
 
Asante sana barafu wewe ni mmoja ya Great Thinker ambao wanaendelea kutoa ufafanuzi kwenye mambo mbalimbali bila kuingiza ushabiki wa kisiasa hasa Aviation Industry.Ningependa kujua progress haya issue mbalimbali

1.Progress na challenge ya ujenzi wa Terminal 3
2.Tangu kuja kwa Bombadier vipi biashara inaendaje ATCL (flow ya pax ikoje)
3.Status ya usalama kwenye airport baada ya kufungwa scanner za kukagua mizigo Terminal 1 na Terminal 2
4.Ule moto uliotokea Terminal 2 mwezi January
Mkuu umekandika maswali mengi kwa mkupuo.Kwa haraka haraka tu TB3 bado inasuasua sana,japo wanaendelea kwa mwendo wa kinyonga tangu hapa katikati.Hii ni kwa sbb watu walipiga sana pesa kwenye ule mradi.Walisaini phase 2 na kuendelea wakati wa kusubiri kuapishwa Rais,wakaweka cha juu chao.Ufisadi huu umefanywa na maafisa wa TAA makao makuu.

Bombadia bado hajichanganya kwenye soko,flow ya pax si kama ile ya fastjet kwa kweli.Fastjet ana quickturn around nyingi sana!!Hakai chini zaidi ya saa,wakati ATC akienda Kigoma akirudi,mwingine anaenda Arusha na Mwanza then siku imeisha!!Na destination zingine kati ya hizo juu hawaendi kila siku kama Dodoma,Mbeya nk.Wanatakiwa kujipanga sana,ndege kazi yake kupaa sio kuegeshwa chini.

Zile mashine zimesaidia sana kule TB one,kulikuwa na watu wahuni sana wanapitisha meno toka porini nq nyara nyingine,sasa pamekuwa tight,japo "ujanja ujanja" bado upo,watu na dili ndio life style.

Ule moto Prof Mbarawa aliunda tume,tusubiri majibu ya tume.
 
Hivi nyie mnatetea hata jambo lililo wazi kabisa, ni kwamba hata kama alikuwa anapita kwakuwa amechagua kutua TZ kabla ya kuendelea, protoko ilitakiwa izingatiwe.Mfano mdogo raisi Magufuli akiamua kwenda Dodoma kwa gari afikapo Moro lazima apokelewe kiprotoko kisha aagwe kuendelea na msafara.Vivyo hivyo kama anakwenda Mwanza kwa ndege ambayo ratiba yake ni kutua Tabora kwanza kabla ya kuendelea na safari lazima uongozi wa tabora protocally umpokee na kutumia nafasi hiyo finyu kueleza kitu fulani kwa raisi chenye manufaa kwa mkoa
wana tetea ujinga nimekubali siasa zinawenyewe kuuliza si dhambi japo kwa sim baba ridh hanaga noma mnatufulesha kimataifa
 
Back
Top Bottom