zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Amen wakati mwingine nahisi wengine hawakusoma ili wasomi waonekane wana akili je Kama tungesoma wote ingekuajeUnamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba,wakati ndio asili inataka simba amle swala.
Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri[emoji1][emoji1][emoji1].
Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.
Umenifikirisha !!Unamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba,wakati ndio asili inataka simba amle swala.
Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri[emoji1][emoji1][emoji1].
Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.
Siyo swala tu, hata kuzini pia si dhambi, kunafanya ongezeko la watu.Unamuonea swala huruma kisa amekabwa na simba, wakati ndio asili inataka simba amle swala.
Ndio sababu hata kuwa nahisi inawezekana matatizo yangu sometime yapo ili mwingine awe na hali nzuri[emoji1][emoji1][emoji1].
Mapenzi ya Mungu yatukuzwe jamani.