Wakati mwingine Binadamu matatizo tunayatafuta wenyewe

Wakati mwingine Binadamu matatizo tunayatafuta wenyewe

ngebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
1,786
Reaction score
5,120
FB_IMG_16124122997271006.jpg

Hivi kati ya mawe na nyumba nani alimfata mwenzake?

hv likitokea la kutokea tutasema ni bahati mbaya?

duh🙄
 
Hilo jiwe liko hapo hivyo for thousands of years, anaejitafutia matatizo ni yule anaevuta sigara ikiwa imeandikwa ni hatari kwa afya yake[emoji1][emoji1]
kwaiyo kama lipo for thoisand yrs wanaubiri lianguke ndio wahame bila kuanguka hawahami et
 
Tatizo ni kupenda Viwanja vya bei ya mbuzi bila kuangalia madhara ya baadae
 
Mambo ya Mwanza hayo!! Mara paaaa!!! tetemeko la ardhi hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom