Wakati Makonda akilindwa, watumishi wa umma waagizwa kuwasilisha vyeti kwa uhakiki mara nyingine

iparamasa

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
13,437
14,924
Agizo limetoka kwamba watumishi wawasilishe vyeti kabla ya tarehe 31/3/2017

Hii inaweza kuwa mara ya tatu uhakiki inarudiwa.

Hali hii inatokea wakati bwana Bashite akishindwa kuhakikiwa na hakuna Maelezo yoyote
IMG-20170320-WA0049.jpg
 
Vyeti vinahakikiwa kwa utaratibu gani?

Unajuaje kwamba mwenye vyeti hivi siyo mwenye navyo?

Pengine tujiridhishe kujua nini mustakabari wa watakao kutwa na vyeti (kama wapo), vyenye utata ikiwa watakuwa hawajawahi kufanya kazi walizonazo chini ya viwango.

Sheria inasemaje katika hili?

Kuna kipengele cha ku wave kosa la kugushi vyeti kama waajiri wao wameridhika na utendaji wao wa kazi?
 
Agizo limetoka kwamba watumishi wawasilishe vyeti kabla ya tarehe 31/3/2017

Hii inaweza kuwa mara ya tatu uhakiki inarudiwa.

Hali hii inatokea wakati bwana Bashite akishindwa kuhakikiwa na hakuna Maelezo yoyoteView attachment 484021

Nani aliyewaambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Christian Makonda ana Vyeti feki? Kama Wewe una uhakika unavyo hebu tuwekee hapa tukione. Hivi hamchoki tu kumpigia Mbuzi gitaa?

Hata hivyo RC Makonda is there to stay period.
 
Tulia wewe shilawadu
 
Back
Top Bottom