Wakati Kenya, Safaricom wakijiandaa Kulunch 5G, Tanzania kuna Maeneo hata coverage ya 2G ni shida.

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,554
Hope mna do poa.

Recently nilikuwa nasikiliza DW KISWAHILI ilikuwa ijumaa mchana.

Nilisikia kuhusu Safaricom kwa kushirikiana na Huawei na Nokia wanampango wa kuanzisha 5G kwa miji mikubwa Kenya.
Pia wakasema Africa kutakuwa na miji 27 au 7 ambayo itakuwa connected na hii technologia ya 5G. Zikiwemo miji ya Kenya, South Africa na Nigeria.

Nikakumbuka Tanzania yangu nasikitika.

Je ewe mdau wa Jamii Forum una maoni gani juu ya hili.?
Je Kenya au Safaricom kuhusu mpango huu wamewahi au ni kawaida.

Na je Tanzania na sisi iko haja ya kuwa na 5G au tungoje kwanza.

Karibu kwa maoni.

For Clarification tutaeleweshana.

At Calvary
 
5G inahitaji uwekezaji mkubwa kwa sababu inatabia chache za 4G vitu vingine hivi vinahitaji muda na TZ wala hatupo nyumba ila uwekezaji uwepo wa kutosha na kujiandaa kwa watumia kutumia simu mpya na matatizo ya battery kuheat kama pasi
 
Tanzania katika suala la maendeleo Tunahujumiwa. Haya mambo ya ukabila mara sijui mrundi mara mrwanda... Tunayachulia poa kwa mijadala ya mtandao... Ila kiukweli kuna la kujifunza na la kufanya pia kwa maslahi mapana ya taifa letu la Tanzania na watu wake...
 
Mkuu safaricom wametutangulia 5G lakini haimaanishi walitupita toka mwanzo, Hilo suala la baadhi ya maeneo kutokuwa na network ni la kidunia, even nchi zenye maendeleo kama USA kuna maeneo wanatumia satelite Internet.

Hakuna mtu atakayekuja kufunga mnara kijiji kina nyumba 10.

Kwenye 4g tuliwatangulia Safaricom walilaunch 4g 2014 tena mwishoni, wakati sisi toka 2012 tunayo.

Na 5g nayo ipo kimipango zaidi sio mobile first tena, sijajua wao wanazindua kwa ajili ya nini, ila kwetu muda ukifika pia itakuja.
 
Tena mtoa post amesahau hiyo 4G yenyewe tu hapo Kenya haipo maeneo yote na mpaka walianzisha project ile ya ku launch maparachuti yabebe mitambo yaanze ku supply mtandao wa 4G

Pia akaangalie bando za Saf au Airtel KE auone wenzetu wanavyopata msoto kwenye bando, sema laini angu ya Safaricom nimeiacha mbali kidogo ngemwonesha mfano kidogo wa bando zao zilivyo za moto! Ndo maana wengi wao hasa vijana wamebase kuchokonoa hizi tunnel apps tu, itakayo waka ndo inawasaidia, Uzuri wanajua kutunza siri sio kama bongo hazikaagi hata mwaka..
 
Hope mna do poa.

Recently nilikuwa nasikiliza DW KISWAHILI ilikuwa ijumaa mchana.

Nilisikia kuhusu Safaricom kwa kushirikiana na Huawei na Nokia wanampango wa kuanzisha 5G kwa miji mikubwa Kenya.
Pia wakasema Africa kutakuwa na miji 27 au 7 ambayo itakuwa connected na hii technologia ya 5G. Zikiwemo miji ya Kenya, South Africa na Nigeria.

Nikakumbuka Tanzania yangu nasikitika.

Je ewe mdau wa Jamii Forum una maoni gani juu ya hili.?
Je Kenya au Safaricom kuhusu mpango huu wamewahi au ni kawaida.

Na je Tanzania na sisi iko haja ya kuwa na 5G au tungoje kwanza.

Karibu kwa maoni.

For Clarification tutaeleweshana.

At Calvary
Ku Lunch!!,ulitaka kusema Ku Launch,bila shaka,kuzindua.
 
Deployment ya 5G sio ishu ya kuanza kushindana kwa sababu ni tech ipo tofauti kidogo na hizi zilizotangulia kuanzia miundombinu (access, core na tx), matumizi n.k
 
Back
Top Bottom