Wakati India na Urusi wanapambana kutua mwezini sisi tunasema hatuwezi kusimamia bandari!

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,261
34,220
Haya mambo yanatia hasira sana, yani waziri na tai yake anasimama bungeni anasema watanzania tumeshindwa kusimamia bandari mizigo inakaa muda mrefu hivyo tuwape bandari watu wa nje waisimamie!

Hivi India na Urusi wangekua na akili kama hizi wangekaa warushe roketi kwenda mwezini?
 
Hiyo nayo ni miujiza chini ya ardhi 😂😂😂
 
Haya mambo yanatia hasira sana, yani waziri na tai yake anasimama bungeni anasema watanzania tumeshindwa kusimamia bandari mizigo inakaa muda mrefu hivyo tuwape bandari watu wa nje waisimamie!

Hivi India na Urusi wangekua na akili kama hizi wangekaa warushe roketi kwenda mwezini?
Chanzo ni kumpata rais mvivu yeye hata kula angeweza kusaidiwa ili ale ,halafu anaitwa rais
 
Kuna kipindi rafiki yangu mmoja aliwahi kuniambia ya kwamba ni afadhali angelizaliwa mnyama Marekani au ulaya kuliko binadamu Afrika hasa Tanzania.

Sasa nimeanza kumuelewa alimaanisha kitu gani.
 
Inashangaza sana, wenzetu wanasonga mbele sisi bila aibu serikali inasema haiwezi kuisimamia bandari!

Yani ni ajabu sana!

Sijui tutaendelea lini kwa kweli!?
Alipopatikana mtu wa kuwanyorosha watu wabadhirifu kelele zikasikika dikiteta dikiteta !!
Bila kaudikiteta kidogo katika Inji hii na Afrika kwa ujumla mambo hayaendi !!
Ni Ufisadi kwa kwenda mbele ndivyo tulivyo !!
 
Haya mambo yanatia hasira sana, yani waziri na tai yake anasimama bungeni anasema watanzania tumeshindwa kusimamia bandari mizigo inakaa muda mrefu hivyo tuwape bandari watu wa nje waisimamie!

Hivi India na Urusi wangekua na akili kama hizi wangekaa warushe roketi kwenda mwezini?
Unashangaa nini unategemea mtu akaibe kura kwajili ya kukupeleka mwezini?
 
Wale wameshiba hawajui kesho ya Mtanzania mwenye njaa aandaliwe nini ndio maana unaona wanasema hawawezi hata kusimamia Ujenzi wa shule wanatamani wawe wanakusanya Kodi tuu ila kwenye matumizi hawawezi zaidi ya kuiba tuna Taifa la hovyo sijapata kuona tuna kila fursa ila hakuna tunachofanya zaidi ya kujaziana Tozo tuu kwenye kila aina ya ununuzi...
 
Hao wageni wakipewa bandari, wataitumia bandari hiyo hiyo kuomba mikopo.
Kifupi CCM washazeeka kifikra, hakuna la maana wanaloweza tena!
 
Shida ni unafiki....ndo mana Mwenyezimungu amesema mnafiki atakuwa kuni mitoni...

Waafrika ni wanafiki sanaa...+ na usiasa basi baraa
 
Haya mambo yanatia hasira sana, yani waziri na tai yake anasimama bungeni anasema watanzania tumeshindwa kusimamia bandari mizigo inakaa muda mrefu hivyo tuwape bandari watu wa nje waisimamie!

Hivi India na Urusi wangekua na akili kama hizi wangekaa warushe roketi kwenda mwezini?
Waziri Mbarawa, Wizara anayoiongoza na Serikali ya CCM ndio waliokiri kutokuwa na uwezo wala akili ya kusimamia bandari, kusema "sisi watanzania tumeshindwa kuisimamia bandari" ni kuwakosea watanzania ambao hawako kwenye mfumo huo wa kifisadi lakini wana uwezo mkubwa.
 
Back
Top Bottom