Wakati hayati Magufuli anavunja Katiba Bunge lilikuwa wapi? Chama kikuu cha Upinzani kilikuwa wapi? Mahakama je?!

Soma hukumu

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Dar es Salaam Main Registry
Case number
Misc. Cause 8 of 2022

Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC

Source : Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022); | Tanzlii
Hayati Magufuli amekuwa scape goat lkn shida ipo kwenye mfumo mzima wa utawala na siasa za nchini mwetu tubadilike watanzania, Tanganyika ni Zanzibar na Zanzibar ni Tanganyika sauti yetu iwe moja kujenga Nchi yetu. Tofauti za vyama zinatengeneza matabaka kinafki maana asilimia 80 ya viongoz was kisiasa wanahama vyama kulingana na maslahi yao na si maslahi ya wote
 
Umeandika ujinga, ulitaka Chama.kikuu waandamane kwa.ajili yako na familia yako? Wakati mbowe Mashamba yake yana haribiwa kule wilayani Hai, uliongea chochote? Wacha kuwaza kwa kutumia utumbo mkubwa
Kwahiyo Zitto Kabwe mjumbe wa Kikosi Kazi cha Prof Mkandala ni zaidi ya Chadema kwa sababu hakumuogopa Jiwe!
 
Hayati Magufuli amekuwa scape goat lkn shida ipo kwenye mfumo mzima wa utawala na siasa za nchini mwetu tubadilike watanzania, Tanganyika ni Zanzibar na Zanzibar ni Tanganyika sauti yetu iwe moja kujenga Nchi yetu. Tofauti za vyama zinatengeneza matabaka kinafki maana asilimia 80 ya viongoz was kisiasa wanahama vyama kulingana na maslahi yao na si maslahi ya wote
Well said!
 
Unamaanisha alipozuia mikutano ya siasa ya vyama vya upinzani??
Mbona ACT Wazalendo na Nccr Mageuzi walikuwa wanafanya mikutano?

Nyie wengine ni waoga na mwanasiasa muoga hafiki popote ataishia kuunga Mkono juhudi
 
Soma hukumu

Court name
High Court of Tanzania
Registry
High Court Dar es Salaam Main Registry
Case number
Misc. Cause 8 of 2022

Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022);​

Media neutral citation
[2022] TZHC

Source : Zitto Zuberi Kabwe vs the President of the United Republic of Tanzania & Others (Misc. Cause 8 of 2022) [2022] TZHC 14947 (05 December 2022); | Tanzlii
Nimesoma hukumu husika kwa kina nikagundua ni usanii wa kisheria uliotumika. Hukumu nzima imekiri kwamba ni kweli Assad hayuko kwenye nafasi hiyo tena na kwamba wanachelea kusema kwamba anayeshikilia kiti cha CAG kwa sasa kama ni kinyume cha katiba.

Hukumu inaupotofu mkubwa kutoa hukumu kwa mshitakiwa ambaye hayupo hai na tena kesi kufunguliwa baada ya kifo chake wakati wadai walikuwa na muda wakufikisha suala hilo mahakamani hapo wakati mshitakiwa wa kwanza akiwa bado yuko hai ili utetezi wake uwe na uzito hivyo kutoa uamuzi kwa kuegemea upande mmoja bila kuzingatia hatua iliyochukuliwa na mshitakiwa kumwondoa aliyekuwa CAG Assad ilikidhi maslahi ya taifa au ilikuwa ni sababu binafsi.

Hukumu hii haibadilishi chochote wala haiwezi kuweka kumbukumbu ya 'precedence' yoyote kwa hapo baadae
 
Mbona kesi imefunguliwa Magufuli akiwa hai?
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Ni wewe huyohuyo ulikuwa ukifurahia mwendazake kutofuata mabaki ya katiba ya nchi, leo hii unajidai kuhoji wakati ulishuhudia wapinzani wakifurumishwa bungeni, you better shutup and squat.
 
Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , swali kama hili, mimi pia niliwahi kuliuliza humu humu jf, Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?

Na nikauliza tena Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?

Kilichofuatia kutokana na maswali hayo, sitaki kukumbuka!.
P
 
Back
Top Bottom