Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , swali kama hili, mimi pia niliwahi kuliuliza humu humu jf, Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
Na nikauliza tena Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?
Kilichofuatia kutokana na maswali hayo, sitaki kukumbuka!.
P
Baada ya hizo thread vitisho, ukawa rejected jumla, kamati uchwara ikakuita kukuhoji