Wakati hayati Magufuli anavunja Katiba Bunge lilikuwa wapi? Chama kikuu cha Upinzani kilikuwa wapi? Mahakama je?!

Moja ya majukumu ya bunge ni kuhakikisha Katiba inaheshimiwa na kulindwa

Ilikuwaje Bunge lilikaa kimya Katiba ikivunjwa?

KUB je?

Na Mahakama?

Mlale unono
Umekosea kuuliza

Ungeuliza hivi wakati Nusrat Hanje anatolewa gerezani kwenda kuapishwa kuwa mbunge wa viti maalum CDM Magufuli alikua wapi?

Ukipata jibu basi ndio litakua jibu kwa swali lako simple
 
Back
Top Bottom