Wakati hauna rivasi

Wakati hauna rivasi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,439
Reaction score
872,037
If we can turn back the time... Back to these old gold days... Chemical free world...
IMG-20180814-WA0044.jpg
 
Kama hujanywa maji kwenye hilo chungu jua ww bado ni mwaume wa dar enzi hizo nimetoka chunga mbuzi za mzee massawe nikirudi napiga maji ya mtungi
 
Kule kijijini nilikozaliwa hadi leo hiyo ndo tool ya kuhifadhaia maji ya kunywa!!! Wenyewe wanakiita ". Echitumo".
 
Hui mtungii sio wazamani kwasababu kikombe cha bati na sio kibuyu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom