Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze kuniondolea upweke?naamini tutashare experience zetu na from there i will get something,mbarikiwe
kama umebandua unabandika saa hiyo hiyo
Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze kuniondolea upweke?naamini tutashare experience zetu na from there i will get something,mbarikiwe
Ndugu kwanza unapaswa uyatambue mapungufu yako yaliyokupelekea mpaka ukaachana na mpnz wako wa awali,je unataka kuanzisha mahusiano mengne kwa ajili ya nini?na kwa faida ya nani?
Maana unaweza kupuuzia kujiuliza maswali kama hayo na ukajikuta kila wakat unakuja jf kutaka ushauri kama huo,na mwisho wa siku utakuwa umeshaumia.
Ubarikiwe sana na wewe...........................ukanuni.............................inategemea alikugusa kiasi gani........................na kuachana kwaweza kuashiria "Baby come back".....................................
na yategemea kama kuna mazingir mazuri ya kupata kitu kipya murua au bora liende...........
Point ya msingi mkuu Dio,je kama nimeshajitathmini within hrs baada ya kubreak?