Wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya?

kibali

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
504
421
Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze kuniondolea upweke?naamini tutashare experience zetu na from there i will get something,mbarikiwe
 
hakuna muda maalumu hapa, inategemea na wewe mwenyewe umechukulia vp hiyo break up!
 
Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze kuniondolea upweke?naamini tutashare experience zetu na from there i will get something,mbarikiwe

Ubarikiwe sana na wewe...........................ukanuni.............................inategemea alikugusa kiasi gani........................na kuachana kwaweza kuashiria "Baby come back".....................................

na yategemea kama kuna mazingir mazuri ya kupata kitu kipya murua au bora liende...........
 
kama umebandua unabandika saa hiyo hiyo

hata kama hakuna cha kubandika unabandika tu...........................kwa wanawake yawezekana ni sawa tu lakini kwa kidume lazima awe mwangalifu sana..............................Sirachi 36:21
 
Ndugu kwanza unapaswa uyatambue mapungufu yako yaliyokupelekea mpaka ukaachana na mpnz wako wa awali,je unataka kuanzisha mahusiano mengne kwa ajili ya nini?na kwa faida ya nani?
Maana unaweza kupuuzia kujiuliza maswali kama hayo na ukajikuta kila wakat unakuja jf kutaka ushauri kama huo,na mwisho wa siku utakuwa umeshaumia.
 
Hapo inategemeana na wewe mwenyewe,uanze baada ya lisaa limoja,wiki,mwezi,mwaka.......
 
Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze kuniondolea upweke?naamini tutashare experience zetu na from there i will get something,mbarikiwe

Baada ya kukaa na kutafakari mapungufu yako na kupima ukimwi kama umesha ukwaa au bado.
 
Ndugu kwanza unapaswa uyatambue mapungufu yako yaliyokupelekea mpaka ukaachana na mpnz wako wa awali,je unataka kuanzisha mahusiano mengne kwa ajili ya nini?na kwa faida ya nani?
Maana unaweza kupuuzia kujiuliza maswali kama hayo na ukajikuta kila wakat unakuja jf kutaka ushauri kama huo,na mwisho wa siku utakuwa umeshaumia.

Point ya msingi mkuu Dio,je kama nimeshajitathmini within hrs baada ya kubreak?
 
Ubarikiwe sana na wewe...........................ukanuni.............................inategemea alikugusa kiasi gani........................na kuachana kwaweza kuashiria "Baby come back".....................................

na yategemea kama kuna mazingir mazuri ya kupata kitu kipya murua au bora liende...........

amen Ruta,hakuna mazingira ya baby come back ila kuna mazingira ya kupata kitu kipya,hapo unasemaje?
 
Yaani umebreak jana au juzi na unataka uanze mahusiano mapya
hata harufu ya aliyekuacha haijatoka chumbani mwako unataka uanze upya
Au uliyekuwa nae ulikuwa ni kwa ajili ya tamaa zako tuu na hakukuw ana real love mkuu
Jitafakari kwanza check na afya yako na jiulize unataka mtu wa aina gani ambaye hatafanana na huyo uliyemwacha
 
Point ya msingi mkuu Dio,je kama nimeshajitathmini within hrs baada ya kubreak?

ndio maana nikakuambia kuwa usitafute mbadala wa yule wa mwanzo kwanza kabla ya kuangalia mapungufu yaliyowafanya mpaka uka break up,angalia kwanza kilichowakwamisha then ndio ufanye maamuz yaliyosahihi na kwa muda mwafaka.
 
uchungu utakapokwisha rohoni, na usipokwisha inakubidi ukauke hivyo hivyo.
 
yani naandika na mnaaanisha hii haijatokea jirani ni mim mwenywe:
muhusika kwanza naweza sema haina muda maalumu , iwapo mmeachana naukahakikisha kuwa no any love feeling remain in your head akija mtu na ukawana hisia za mapenzi na yeye akiwa amekupenda anzisha mahusiano...kwani mimi nilishawahi kubreak na nikasema sasa nahitaju mapumziko ili nimpate mtu sahihi wa maisha nikakaa muda mrefu huku nikiwakataa wanaume na kusema still najipa muda zaidi ya miaka miwili kilichokuja kutokea nikapata BF ambaye ki ukweli nilihisi ananipenda na kurudisha furaha yangu ila kilichotokea baada ya muda tena nikamkuta akiwa na dada mwingine on the same bed ....
just a real example so uamuzi ni wako na ukipata anaye kufaa hata kesho oky na asipopatika na oky ila tu usiforce kuwana mtu ili kumkomoa yule uliye brake nae hapo utaharibu
na usiache kuwa na umpendaye kusema eti ujipe time inaweza ikakutokea kama mimi
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom