Mnyaluhala.
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,430
- 1,773
Lalamika kwa facts sio maneno matupu kosoa kwa data hii sio serikali ya kenya ndugu Tinamipango yetu na sera zetu kama nchi.
Ongezea na jf kama ulivyolalamikaNa cha kusikitisha ni kama hatujali kabisa, yaani ni kama hakuna kinacho tuhusu, utaona tunalalamika tukiwa tu kwenye vijiwe vya kahawa, kwenye Daladala na kadhalika.
Naomba nipingane nawe kidogo sana.Na cha kusikitisha ni kama hatujali kabisa, yaani ni kama hakuna kinacho tuhusu, utaona tunalalamika tukiwa tu kwenye vijiwe vya kahawa, kwenye Daladala na kadhalika.
Labda Nikuulize wewe unalipa Kodi ngapi Mkuu maana hatufanani kwenye direct taxTulipe kondi ngapi?
Wewe zoba Nani amekwambia kiasi kinachotozwa sasa hivi hakiwezi kufanya hayo Mambo yote , mpuuzi wewe !
CCM imetengeneza loopholes za wizi na ubadhilifu WA Mali za Uma na mapato halafu bado mafala kama wewe mnaanfldika utumbo hapa ! , Idiot ! , Suala si Kodi , suala ni utawala Bora utakaoensure Kodi zibatumia ipasav
Hauko smart kiasi cha kujenga hoja na mimi Mkuu, kwa heshima naomba tuishie hapoWewe zoba Nani amekwambia kiasi kinachotozwa sasa hivi hakiwezi kufanya hayo Mambo yote , mpuuzi wewe !
CCM imetengeneza loopholes za wizi na ubadhilifu WA Mali za Uma na mapato halafu bado mafala kama wewe mnaanfldika utumbo hapa ! , Idiot ! , Suala si Kodi , suala ni utawala Bora utakaoensure Kodi zibatumia ipasavyo
Hivi unaweza kuamini serekali iliyojiweka yenyewe madarakani ukitegemea ukuletee maendeleo utakua kichaa hawa ni wezi wanatafuta pesa za kupanga matokeo ya uchaguzi ujao kwenye Box la kura wanajua mziki wake miaka yote tunawatoa matenga Usitegemee maendeleo hata wakikusanya bei gani usitegemee maendeleoNaomba nipingane nawe kidogo sana.
Mimi sipingi ongezeko la kodo bali napinga matumizi mabovu.
Hivi ikiwa walipa kodi Tz ni watu 5,000,000
Na taifa lina watu 60ml lini tutafanya maendeleo?
Kwasasa wametanua wigo wa kodi tunalipa wengi, hivyo serikali itakusanya pesa nyingi za maendeleo.
Naomba tujikite kuhakikisha inatumika vizuri na sio kupinga kodi.
Una vision Mkuu, walipa Kodi nchi hii walioandikishwa ni M3.8 ,ndio wanabeba Mzigo wa Watu M55-60.Naomba nipingane nawe kidogo sana.
Mimi sipingi ongezeko la kodo bali napinga matumizi mabovu.
Hivi ikiwa walipa kodi Tz ni watu 5,000,000
Na taifa lina watu 60ml lini tutafanya maendeleo?
Kwasasa wametanua wigo wa kodi tunalipa wengi, hivyo serikali itakusanya pesa nyingi za maendeleo.
Naomba tujikite kuhakikisha inatumika vizuri na sio kupinga kodi.
Nchi zote zilizoendelea watu wake kuanzia 35% wanalipa kodi, lakini pia wanazitumia vizuri, hapa Tz hatulipi kodi na tunazitumia hizi kidogo vibaya.Una vision Mkuu, walipa Kodi nchi hii walioandikishwa ni M3.8 ,ndio wanabeba Mzigo wa Watu M55-60.
Halafu hao hao wanaolalamika kulipa Kodi ndio walalamikaji wazuri wa mambo ya maendelo yanapokwama
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa.
Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko.
Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa kutumia LUKU na pia kodi ya simu ila Bunge wamepitisha tena kwa kishindo.
Kenya kwa upande wao Wabunge kwa umoja wao wamepinga bajeti na hivyo kubidi ifanyiwe mabadiliko, hii sio mara ya kwanza kwa wao kupinga Bajeti, ni swala la kawaida kwao.
Bunge la Tanzania ukifuatilia kuanzia Spika yuko pale kuitetea Serikali kwa nguvu zote, Wabunge ukifuatilia wako pale kuitetea Serikali na si kusimamia.
Bunge limejaa wanafikia waganga njaa, wakina Msukuma, watapinga kinafiki siku ya kupitisha Bajeti wanapitisha kwa asilimia zote.
Haingii akilini kwamba Kodi ya nyumba itamuhusu Mwenye nyumba ilihali inajulikana fika kabisa mifumo ya upangaji kwa Tanzania kwamba swala la umeme halimuhusu mwenye nyumba kamwe.
Kwa hio hata Serikali ikija na Bajeti ya Hovyo kiasi gani itapita tu kwa sababu wabunge wanaogopa Bunge kuvunjwa?
Neno Wanjiku Kenya linatumika kama huku neno Wanyonge, wakayi huku tunatumia Wanyonge Kenya huwa wanatumia neno Wanjiku.
View attachment 1827188View attachment 1827189
ccm ikiondolewa ndani ya mwezi moja Tanzania itakuwa kama Dubai hawa jamaa wananya hadi damu hadi maitiUna vision Mkuu, walipa Kodi nchi hii walioandikishwa ni M3.8 ,ndio wanabeba Mzigo wa Watu M55-60.
Halafu hao hao wanaolalamika kulipa Kodi ndio walalamikaji wazuri wa mambo ya maendelo yanapokwama
Kwanini tusianze kuondoa wezi wakodi kwanza badala ya kuendelea kuwaneemesha wezii wachache?Nchi zote zilizoendelea watu wake kuanzia 35% wanalipa kodi, lakini pia wanazitumia vizuri, hapa Tz hatulipi kodi na tunazitumia hizi kidogo vibaya.
Nashauri tulipe kodi zaidi tudai matumizi sahihi ya kodi.
Bora ipigwe na Serikali kuliko mtu backReceipt hata ukipewa na muuzaji pesa yako itapigwa tu, ccm ni wezi sana wana matumizi ya kijinga sana.
Ngoja wazikusanye wataanza kununua wapinza, kuna wabunge wanalipwa pesa yako hiyo bila hata kuwa na vyama vya siasi
Dhana ya kupoteza pesa kwako nini umeambiwa nikutokuchukua receipt uzalendo wa kuomba receipt unaupata wapi?
Mimi nikinunua bidhaa za 5m namwambia muuzaji andika receipt ya jero sipangiwi na mtu
Yote yanafanyika senulteneously,toa taarifa ya hao wezi Ili washughulikiweKwanini tusianze kuondoa wezi wakodi kwanza badala ya kuendelea kuwaneemesha wezii wachache?
Serekali imeweka mtaji bei gani hadi usema bora ipigwe na serekali?Bora ipigwe na Serikali kuliko mtu back
Mtaji ni huduma tunazopata kwa njia tofauti tofauti,Mzee lisiti lazima utoe usipotoa nakushitaki mil.3 itakuhusuSerekali imeweka mtaji bei gani hadi usema bora ipigwe na serekali?
Serekali ya ccm wezi wakodi zetu wanashitakiwa wapi na faini analipa nani kwa wizi au sheria inakata upande moja ?Mtaji ni huduma tunazopata kwa njia tofauti tofauti,Mzee lisiti lazima utoe usipotoa nakushitaki mil.3 itakuhusu
Kwa kifupi ile pesa wanajifanya wanaongeza kwa 1% ya payee wanapita mlango wa nyuma na kuja kuichukua yote kupitia Kodi ya majengo kwenye luku,kila ukiangalia,Kuna payee,mifuko ya jamii,bank,.Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa.
Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko.
Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa kutumia LUKU na pia kodi ya simu ila Bunge wamepitisha tena kwa kishindo.
Kenya kwa upande wao Wabunge kwa umoja wao wamepinga bajeti na hivyo kubidi ifanyiwe mabadiliko, hii sio mara ya kwanza kwa wao kupinga Bajeti, ni swala la kawaida kwao.
Bunge la Tanzania ukifuatilia kuanzia Spika yuko pale kuitetea Serikali kwa nguvu zote, Wabunge ukifuatilia wako pale kuitetea Serikali na si kusimamia.
Bunge limejaa wanafikia waganga njaa, wakina Msukuma, watapinga kinafiki siku ya kupitisha Bajeti wanapitisha kwa asilimia zote.
Haingii akilini kwamba Kodi ya nyumba itamuhusu Mwenye nyumba ilihali inajulikana fika kabisa mifumo ya upangaji kwa Tanzania kwamba swala la umeme halimuhusu mwenye nyumba kamwe.
Kwa hio hata Serikali ikija na Bajeti ya Hovyo kiasi gani itapita tu kwa sababu wabunge wanaogopa Bunge kuvunjwa?
Neno Wanjiku Kenya linatumika kama huku neno Wanyonge, wakayi huku tunatumia Wanyonge Kenya huwa wanatumia neno Wanjiku.
View attachment 1827188View attachment 1827189
Ukiangalia bunge la Tz Bora hata la Zanzibar wanaeleweka hawa ni makitu mob for nothingHuwa nikifuatilia mijadala pale huwa nasikitika sana,
Kibaya zaidi wanaiba na kwenda kuficha store,Bora wangepeleka kwenye economy developmentWewe zoba Nani amekwambia kiasi kinachotozwa sasa hivi hakiwezi kufanya hayo Mambo yote , mpuuzi wewe !