Wakali wa umombo JF...


Mkuu ulijihudhurisha nini kwenye uzinduzi huu: https://www.facebook.com/media/set/?set=a.607768679277453.1073741832.113723105348682&type=1
 
They are going to stab you if you brag.

They are going to stab you if you drag.

They are going to stab you if you gag.

Brag, drag, gag, all in a bag

They are going to stab you bad.

Kind of remind me of this quote from the good old book:

"But whereunto shall I liken this generation? It is like unto children sitting in the markets, and calling unto their fellows, And saying, We have piped unto you, and ye have not danced; we have mourned unto you, and ye have not lamented. For John came neither eating nor drinking, and they say, He hath a devil.The Son of man came eating and drinking, and they say, Behold a man gluttonous, and a winebibber, a friend of publicans and sinners. But wisdom is justified of her children" - JC
 

kisiitaarabu......?????
kingereza.........???
nipe maana ya hayo maneno maana kwenye kamusi yangu hayapo
 

Niliusikia huu.

Mimi ningependa an autobiography / memoirs, hizo speeches tunazijua.

Ila wamefanya vizuri kuziweka pamoja, worth a browse. I can't say Mkapa is not a wonk.

Speaking of Mkapa katika thread ya wakali wa Kiingereza, Henry Kissinger alikuja bongo Ibrahim Kaduma akashindwa kuongea naye ung'eng'e. Kissinger anaomba kuoneshwa "water closet" Mzee Kaduma anabung'aa, Mkapa wakati huo yuko Daily News ndo aka step in kuokoa jahazi.

Kuna mshua mmoja wa serikalini alikuwa anasema Mkapa anajua ung'eng'e kuliko mtumishi mwingine yeyote wa serikali.

Labda si JF tu yenye hatari ya kutumia standards ndogo.
 
Karucee mlete mwalimu wako bwana Nyani
 
Last edited by a moderator:
Mi bwanaangu nomaa kwa kidhungu hua ananifundisha kidogo kidogo sijui lin ntaporomosha humu mavidhungu tupu !!!!!!!msitake kumjua
 

Kuna mhariri wa zamani wa Business Times la Tanzania, wanamwita Shakespeare, kama humjui mtafute mtapatana sana - halafu kuna huyu mwandishi jiniasi wa makala haya: "Mwalimu`s betrayal of Shakespeare: Institutional image of the working class" http://www.ippmedia.com/frontend/?l=58540
 
Mmemsahau Askari kanzu,Geza ulole wajamen wengine waanandikaga kiswaanglish sasa sijui na wao wanajua!!!!!???
 
Kuna mpambano humu JF kati ya Kiranga na mwita25,kiranga alimshinda mwita kwa mbaali sana..nakumbuka ata Nyani ngabu na bi Faizafoxy walishinda kwakweli mentor wangu kiranga ni kijini ujuvi..
 
Binafsi naunga mkono maoni ya wengi kwamba kiranga anaweza kiingereza kwa kiasi chake.na siri kubwa ya kiranga ni kupenda sana kusoma vitabu hasa vya watu maarufu,wanafalsafa,na pia juhudi binafsi na pia amewahi kuishi nje miaka kadhaa kama sikosei,big up!!,ndo mana mkimuliza chochote anajibu kwa misamiati migumu ama mafumbo na ukiingia kichwa kichwa unatoka kapa,,namfaham vizur japo sijaonana nae,katika mada ya uwepo wa mungu na uumbaji tuko nae upande wa hakuna mungu dhidi ya team mungu,huko walitukimbia wote
 
Kuna mpambano humu JF kati ya Kiranga na mwita25,kiranga alimshinda mwita kwa mbaali sana..nakumbuka ata Nyani ngabu na bi Faizafoxy walishinda kwakweli mentor wangu kiranga ni kijini ujuvi..

Weka link ya huo mtanange nincheck mrembo a.k.a Faizafoxy
 

It is a piece alright.

Nothing you could mistake for an Amby "Namby Pamby" Lusekelo's deadline beating sorry excuse for an article.

Although I am not too sure if the puffery aesthetics in rhetoric does not obscure clarity, and the substance is not rather genuinely elitist. Almost a Pythagorean sect's secret mathematical notation with sub formulas buried in a Dan Brown like plot filled with Russian Matryoshka dolls like literary devices.

Take that from someone who has been accused of being elitist.

I will take it he took enough comfort in the fact that the masses cannot read his diction, let alone follow his twists full of Roman references and Shakespeare's works which defacates on their democratic right to involvement in the civic leadership of the nation.

Failure or not, I cannot fathom a sane person openly advocating Nyerere to have had focused on the elites rather than the masses.

And I am rather to the right economically, even as I am liberal socially. So I would not have an issue with a healthy dose of elitism, also known as "sampling the population forward", but this guy was almost claiming some divine right for the elites like some Han dynasty direct descendant eyeing the throne.
 
I wouldn't call a distinguished president "none". That - clever wordplay or not - would be rather demeaning to his character if not belittling his august office.

2014 Pulitzer Prize: The winners are, Kiranga and Nyani Ngabu.
 

I doubt if he is pro-Nyerere, maybe a quasi sample of one of his article does not him justice - here is some sort of a representative selection:

Massive infusion of capital, long leaseholds of land needed to revamp agricuture - http://www.pamoma.com/stream/478-mi...easeholds-of-land-needed-to-revamp-agricuture

A tale of two terrorists: Trying Anders Behring Breivic, in place of Osama bin Laden -http://www.businesstimes.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1859:a-tale-of-two-terrorists-trying-anders-behring-breivic-in-place-of-osama-bin-laden&catid=1:latest-news&Itemid=57

Anti-banks legislation and the presidency of Barack Obama - http://www.businesstimes.co.tz/inde...obama&format=pdf&option=com_content&Itemid=29
 
Ndio mmeanza sasa ngoja niwajibu na mie
 
Ben Wa Saanane nay anajua
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha....Haki ya Mungu. You really had to write all these complex vocabularies to make a point.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…