Wakali wa umombo JF...

Eer! Pulizi yuu noo.... Aah! Yesi ofukoz yuwa kidhungu is snake weli.... Acheni uchoyo jaman na mi niongezwe hapo kwenye listi ya watema UNG'ENG'E basi
 

Tatizo Kiingereza kidogo nilichoandika hujakielewa.

Labda niandike Kiswahili.

Kwanza kabisa, sentensi yangu ime kuwa qualified na "if". Nikasema kama Kiranga anaonekana mahiri sana, ni kwa sababu tunatumia standards ndogo hapa JF.

Sasa mtu anayesema kwamba kama yeye anaonekana mahiri ni kwa sababu mtihani aliopewa ni rahisi atakuwaje anajikuza?

Pia, sikutukana JF, kwa sababu nimesema "kama naonekana mahiri". Amekuja mshashi kuniponda kwamba sina umahiri wowote, na mimi nikawa wa kwanza kukubaliana naye.

Hapo nimejikuza vipi?

Unajua kusoma wewe?
 
mh mgema akisifiwa sasa,tembo hulitia maji! Kiranga

Kiranga sio mtu wa kupenda sifa wala kuogopa lawama.

Kupenda kusifiwa au kuogopa lawama hakujawahi kunizuia kujieleza ninavyofikiri.

Na sina mpango wa kuanza kubadilika sasa.
 
Last edited by a moderator:
Siwapendi watu wanaojisifu kwa kujua kiingereza wakati kwenye kiswahili tunaboronga kwa kuandika kiswahili kichafu,
'NAJISIKIA FAHARI KWA VILE NAJITAHIDI KUONGEA NA KUANDIKA KISWAHILI FASAHA'
 

Makanyanga,umekurupuka rafiki yangu,
ametukana vipi?
Muungwana siku zote hujishusha anapo pewa sifa,na siyo kujikweza!
Au una ka bifu?
 
Last edited by a moderator:
mimi siwapendi wanaopenda kukosoa wenzao
yaani ukimiss hata herufi moja badala ya kuangalia point uliyoandika anajigeuza yeye mwalimu kingereza sijui kutafuta masifa et hapa ungeandika hivi na vile
khaaaaaaaaaa hatukatai kurekebisha kama mtu kakosea mrekebishe kisiitaarabu au waweza kumfata pm ili afanye editing huo ndio uungwana
 

Criticism may not be agreeable, but it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body. It calls attention to an unhealthy state of things.


- Winston Churchill.
 

Ngoja nije pm naona hata hapa umeshakosea.
 
Tumebaki kutukuza ya wenzetu na ndio maana yetu yanatushinda
 
If Kiranga's English is anything impressive at JF, it could only be because JF standards are too low, not because Kiranga is that impressive in the high command of this strange tongue.

Thank you twende kazi , you are far too kind.

As the say, the lesser of two evils

In any case, congrats, you are indeed second to none, that is, if none is synonymous to Nyani Ngabu
 
as the say, the lesser of two evils

in any case, congrats, you are indeed second to none, that is, if none is synonymous to Nyani Ngabu

I wouldn't call a distinguished president "none". That - clever wordplay or not - would be rather demeaning to his character if not belittling his august office.
 
Last edited by a moderator:
Siwapendi watu wanaojisifu kwa kujua kiingereza wakati kwenye kiswahili tunaboronga kwa kuandika kiswahili kichafu,
'NAJISIKIA FAHARI KWA VILE NAJITAHIDI KUONGEA NA KUANDIKA KISWAHILI FASAHA'

Bahati mbaya au nzuri, aliyesifiwa, Kiswahili fasaha anakijua vilivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…