Wakali wa flight games tukutane hapa

Wakali wa flight games tukutane hapa

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,632
Reaction score
18,649
Wadau wa mobile and pc flight games natumaini mkoa poa. Nataka kufahamu kutoka kwenu ni flight games zipi kwako ni bora .tupeane uzoefu.

Kwangu mimi kuna
1. Realflight simulator
2. Airline commander
3. Turboprop.

Kwa upande wa PC, MFS2020 haina mpinzani so far..

Karibuni waungwana
 
RFS naipenda sana game hii.
ila hivi karibuni imekuwa inasumbua kwangu...naweza nikaanza vema kisha ikapotea bila kufikia mwisho.
msaada tafadhali kama kuna ninapokosea . natumia simu na hata tablet
 
Tumia pro rfs online na mtandao uwe wenye nguvu
 
Nimezingatia ushauri wako
Screenshot_20220308-023025.jpg
 
Wadau wa mobile and pc flight games natumaini mkoa poa. Nataka kufahamu kutoka kwenu ni flight games zipi kwako ni bora .tupeane uzoefu.

Kwangu mimi kuna
1. Realflight simulator
2. Airline commander
3. Turboprop.

Kwa upande wa PC, MFS2020 haina mpinzani so far..

Karibuni waungwana
MFS ipovizuri upande wa PC kuliko simulator yeyote ile...
02cdb08a9517e41f5d40e51da48c6075.jpg
 
Back
Top Bottom