wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Utanitetea bana...nitakupa ten percent....mimi kwenye birthday ni kiboko huwa nakumbuka miezi miwili kabla
Kwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..
AD naomba kuchakachua siredi
TF una kesi ya kujibu mahakamani kutokana na shtaka lako so jiandae mapema sana
Kesi Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaaa...LOL
Mahakama kuu na kesi yenyewe ni ya kudanganya matukio. Ulipaswa uwe somewhere ila ukaenda kwingine na hukuonekana.
Je huwa unakumbuka birthday ya mchumba au mpaka ukumbushwe kwa kengele
Utanitetea bana...nitakupa ten percent....mimi kwenye birthday ni kiboko huwa nakumbuka miezi miwili kabla
Kusahau huwa ni ngumu sana labda itokee nimepata Cardiac Arrest ....paa la nyumba lilikuwa linavuja ikabidi nihamie stoo..Angel willl keep me company thouwe ni mmoja wapo wa wanao sahau..
au unao haina maana ??
Dahhh naona umehama nyumba kabisa..
Mi bthdy sitaki uwa ninajisahulisha ilimradi najijua nina miaka kadhaa lengo sitaki kumkumbusha MUNGU kwa mbwembwe uwa napga magoti na kusema wewe ndiwe muumba wangu nitakuabudu milele.nikija kuowa kumbukumbu itakuwepo ya sherehe kuishi na mtu mwingine kazi kwel kwel so lazima kukumbushana.
Mi huwa nakumbuka za watu ila ya kwangu huwa sikumbuki na hakuna mtu ambaye huwa ananikumbusha na nikikumbuka huwa ni baada ya cku mbili au tatu baada ya tarehe yenyewe.
Mamito una vituko wewe...umenifanya nicheke mwenyewe kaa chizi... umepona lakini??mi sijui mnaongelea nini bwana
mimi nakumbuka tu siku niliyoachwa
wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Kiukweli ishu kwangu sio gharama kwani si lazima kumwagika kwa saaaana kila mwaka na ukiwa na muelewa wala huhitaji vitu vikubwa saaana it just a symbol of appreciation.... TATIZO kwangu ni kunikumbusha i mean kukumbuka.......maadam hata b'day yangu huwa nakumbushwa the very day tena baada ya kuthibisha kuwa sina kumbu kumbu nayo wala sina mpango wowote (tena kamasijaingia kwenye mail nikakumbushwa na JF ndo kabisaaaaa sikumbuki ) walau ninaposahau ya kwake pia hashangai sana....Nafiki AD muwe mnatukumbusha....
mi sijui mnaongelea nini bwana
mimi nakumbuka tu siku niliyoachwa
Naw kwa mtizamo wangu ni kwamba u dont need to reming us coz najua kama ni kweli mtu anakupenda hawezi kusahau matukio muhimu kama birthday na annivesaries ingawa huwa tunasahau siku tunayoanza kuwaaproach na siku mliyotukubalia na matukio mengine (its nature thats why men do not have diaries kuweka matukio ya hivyo but women do)wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Mie kila siku kwangu ni Siku ya ndoa yangu.
Kwahiyo kila napokula tundi ndo inakuwa anniversary yangu.
Ntakumbukaje siku moja wakati nampenda kila siku bana?
okay..
Kumbe kuna wengine kweli hamkumbuki.. Poleni.
Je umewahi kuuliza au kuomba ushauri jinsi ya kukumbuka
vitu kama hivyo?