Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Sawa!!wewe mwanaume endelea kubembeleza,nunua maua,kyupi,magauni,mfanyie besdei pati, fanya kila kitu mwanawane kama mleta uzi alivoshauri!!umeskia eenh!!
Acha Roho hiyo bwana.
Wanaume Romantic bado wapo
Wewe tu hujui
 
kwa nilichokuelewa mm kua romantic ni kuongeza hela tunazowahonga
 
Chaajabu ni kwamba hapo zamani visuprise vya kijingajinga mnavyovidai cku hz havikuwepo lakin loh...ndoa zilidumu sanaaa..... Lakin cku hz mwanamke utapewa kilakitu unachokitaka.....lakin bdo hamtosheki....duh...matokeo yake ndoa nyingi na mahusiano, hazidumu.... Ni Myngu tu atusaidie ..maana kama ni kurudi kwa nyoka bas wenzetu mnarudi kwa kasi kuliko hata aliyeanza kudanganywa....
Gaudensia.....sijakusoma
Zama zinabadilika
Amini mpaka Leo hii Kuna MAHUSIANO matamuu asali haioni ndani.
Wewe tu
 
Wanaume wabakaji mm hata siwapendi romantic wanaota kwenhe ndoto
MTU mbabeeee yaani Hata havutiii
Mwanaume anatakiwa apoe
Ajue wapi mpenzi anafurahia
But some of them
Aaah _!!!! Anyway.Watabadilika pole pole
Hata vipindi vingi vya Television Mada ni hizo hizo why now days many people are not happy in their marriage life??????jibu..wababa ni wababeee sana.
Like Njoo hapa?!
Vua upesi nataka kesho niwai kazini.
Jamani jamani
That is not the way to keep your relationship healthier_!
 
Fresh flowers ndo nin
Ni maua yoyote ya asili yanukiayo vizuri.
Mfano pale st.peter mbuyuni kuna maduka kabisa ya hayo maua
But Sio lazima hayo.. Wkt huu mvua maua yapo sana hasa kwa wanaokaa pembezoni kwa mji.unachuma unampelekea
Yaani it sounds.
Jaribu Leo.
Baadhi wanachukulia ndivyo sivyo but kwenye MAHUSIANO hayo ndo mambo
Umeshindwa hayo,kuna Njia ingine
Just imagine mpenzi wako katoka kazini kakuletea just Ivory ( pipi)how do you feel?
Nice!
How much for Ivory??
It sound weird but it works.
Love is an art.
Ndo Mana unaweza ukawa na mpenzi mkaachana kabisa
But akirecal tuutundu twakoo anarudiii
Nyakunyaku wanabaki Midomo waziiiii!!!
 
yap i get it.. romantic ni muhimu but na nyie msiwe manabweteka sifa fanyeni kushow love ili myutia hamasa tuone kweli tunayafanya kwa mtu sahihi..

nadhan mkiwa mnadeka deka kwetu itapendeza...[emoji23][emoji23]
Yes! There you are !!
 
kwaio uanaume ni kumtetemekea mwanamke ili asikuache (au ndo umeanza mapenzi nini mkuu)Samson alikua romantiki leo yuko wapi, ..nyie ndo wale ambao mnapigishwa deki nyumbani na mwanamke anaangalia tv
Be Romantic bwana.Acha ubishi
Hili somo likuingiee kichwani
 
hajielewi uyo achana nae,hawa ndo wale ambao akisalitiwa na mwanamke anaenda kujinyonga
Wala hajinyongi Na mwanamke yoyote anapenda MTU wa hivi.
Shauri yenu Na maubabe yenu
 
Back
Top Bottom