Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Sio Unakua serious kama Dr. shika nakat hela huna. Ukiachwa itapendeza zaid
 
Mi sielewi kati ya 900 itapendeza sana na hiyo sijui romantiki kipi kinaanza??

Muwe mnaacha unafiki bhana
 
Wanawake wa kibongo hawathamini maua,wee mpe hela,..et kabsa dume zima ubabeba miua unapeleka kwa dem wa kibongo?atacheka kimoyomoyo...maua waachie ngoz nyeupe
 
Kwenye utawala wa huyu jamaa hizo surprises, maua maua sijui unaita fresh flowers, vinguo vya ndani na vijizawadi havina bajeti kwa sasa.

Mulielewe hilo. Muache kusumbua sumbua...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wanawake wa kibongo hawathamini maua,wee mpe hela,..et kabsa dume zima ubabeba miua unapeleka kwa dem wa kibongo?atacheka kimoyomoyo...maua waachie ngoz nyeupe
Unaweza shangaa pale atakapokuuliza umenunua shi ngapi? mtajie utasikia majibu yake
 
Ujinga mtupu huu..ubebembelezwe nini wakat huna mbele wala nyuma..ww ni wa kutumika tu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Unaweza shangaa pale atakapokuuliza umenunua shi ngapi? mtajie utasikia majibu yake
Unafikiri sijui bei,unajiletesha vimaua hapa vya miambili pesa yote unahonga.Na hapa hupati kitu Ukimwi wako peleka huko huko....
Hahahahahaaaaa
Mahaba niue!!!
Hiyo haitoshi unaongezewa na zawadi ya fyyoooo!!!
 
Heloooo
Kidogo nimeona nije Na masomo kadogo Leo baada ya wiki Tamu hii ya 900 itapendeza!!

Jamani wakaka/ wababa Sio eti Ukiwa Na six pack au pesa au muonekano mzuri Sijui urefu ndo Wanawake wachumba utapata Nope!!
Sometimes you need to be gentleman/ Romantic and charming.
Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawawapati wapenzi.

Siri ndo hiyo.Tumia lugha tamu Na lakini.
Siku zingine nunua Hata fresh flowers mpelekee, vinguo vizuri zuri vya ndani visandozi..n.k
Simple.Na visurprise surprise!
Fanya maisha yenu ya kimapenzi mepesi laini.
Kukalipiaa Ubabe nooo!
Mwanamke anahitaji kubembelezwa
Vikosa vidogodogo puuzieni
Jamani Kuna wanaume wana Gubuuuu
Hapana!!
Utakimbiwa.
OK.Good Night.
Kha!hivi kuna mwanaume zama hizi anahangaika kumfurahisha mwanamke?!?Mwanaume jikite kutafuta pesa watoto wa kike wapo tu na wanazaliwa wazuri kila siku,akikuacha huyu winda mwingine, huyu akizingua kamata mwingine!!mbona wetu tu hawa!!
 
Kuna mwenzio wa jinsia yako alipelekewa 'fresh flowers' akamjibu mletaji kuwa,''umeniona mi nyuki nataka kutengeneza asali''
 
Wanawake n wavumilivu sana huwa hawakufanyii kitu bila we kukosea
 
Kha!hivi kuna mwanaume zama hizi anahangaika kumfurahisha mwanamke?!?Mwanaume jikite kutafuta pesa watoto wa kike wapo tu na wanazaliwa wazuri kila siku,akikuacha huyu winda mwingine, huyu akizingua kamata mwingine!!mbona wetu tu hawa!!
Huo c uanaume ni uvulana
 
Back
Top Bottom