Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Mmmmh kuna wanaume wabinafsi sijapata ona utakuta mtu mnamahusiano hata ya mwaka lakini kijana hawajawah kukupa hata zawadi daaaah !!!!!
Yaani namshukuru Mungu saana kwa kunitoa mikononi mwa yule kijana khaaa ..... kwa bahati mbaya au nzuri mim ni mtoaji kuna muda nikiwa nafanya shoppin zangu lazma nichukue kitu hata kimoja ambacho najua babe atafurahi ila huyo kaka alikuwa anafurahia tuu yeye kujiongeza hakuna mpaka kuna kipind ikabid nmwambie sometimes suprises /gift must be there ila atajichekesha tu ndo imetoka hivyo ......sometime siku nikiwa na furaha naweza hata nka order lunch mpaka ofisin kwake ila anafurahi tuu na siku ingine anakwambia tena kwamba kile chakula kilikuwa kitamu ila yeye wala hajui kutoa / hajigusi kabisa .....
Daaah namshukuru saana nilivyooachana nae khaaa ubinafsi sio mzuri jamani kuna muda vizawadi/suprises vina umuhimu jamani
Mim nilimshindwa kabisa mapenz yahivyo hapana kwakweli ingawa alikuwa anajua kumbembeleza !!!!
 
Pole sana jamani.
Umenikumbusha mbali sana.
Kweli Hakuna kitu kinauma kwenye MAHUSIANO.kama One sided love.
Unajitoaaa mambo Mengi mwenzio amekauka.
Kuna Dada 1 aliwai sema.Alienda kwa mchumba wake akasahau Kitenge.
Jamaa akampigia simu kwamba apitie kwa Mangi kuchukua mzigo wake.
Furaha aliyokuwa nayo haisemeki mana aliamini jamaa Sasa kabadilika kaanza kumkumbuka kwa tuzawadi kama afanyiavyo mana hakuwai Hata Siku 1.
Basi akachukua mpaka Ndani mana ilikuwa imefungwa
Ile kufungua alichokutaaaa
Ni Kitenge chake mwenyewe.
Anasema alikosa furaha sana.
Kwenye mahusiano vitu vidogo vidogo huimalisha.Ni kama Achali au mayonnaise kwenye chips.
 
Back
Top Bottom