cjui wanawake huwa wanapenda nin?,ulivyoandika hapo kuna dem mmoj hatak kuvickia.Heloo,
Kidogo nimeona nije na masomo kadogo Leo baada ya wiki tamu hii ya 900 itapendeza,
Jamani wakaka/ wababa sio eti ukiwa na six pack au pesa au muonekano mzuri sijui urefu ndo wanawake wachumba utapata nope.
Sometimes you need to be gentleman/ romantic and charming. Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawapati wapenzi.
Siri ndo hiyo. Tumia lugha tamu na lakini. Siku zingine nunua hata fresh flowers mpelekee, vinguo vizuri zuri vya ndani visandozi n.k.
Simple na visurprise surprise fanya maisha yenu ya kimapenzi mepesi laini.
Kukalipiaa Ubabe nooo.
Mwanamke anahitaji kubembelezwa, vikosa vidogodogo puuzieni jamani kuna wanaume wana gubu hapana. Utakimbiwa.
OK.Good Night.
Yes. Da shemKwa hiyo tuache kusumbua my shem?
Chaajabu ni kwamba hapo zamani visuprise vya kijingajinga mnavyovidai cku hz havikuwepo lakin loh...ndoa zilidumu sanaaa..... Lakin cku hz mwanamke utapewa kilakitu unachokitaka.....lakin bdo hamtosheki....duh...matokeo yake ndoa nyingi na mahusiano, hazidumu.... Ni Myngu tu atusaidie ..maana kama ni kurudi kwa nyoka bas wenzetu mnarudi kwa kasi kuliko hata aliyeanza kudanganywa....Heloo,
Kidogo nimeona nije na masomo kadogo Leo baada ya wiki tamu hii ya 900 itapendeza,
Jamani wakaka/ wababa sio eti ukiwa na six pack au pesa au muonekano mzuri sijui urefu ndo wanawake wachumba utapata nope.
Sometimes you need to be gentleman/ romantic and charming. Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawapati wapenzi.
Siri ndo hiyo. Tumia lugha tamu na lakini. Siku zingine nunua hata fresh flowers mpelekee, vinguo vizuri zuri vya ndani visandozi n.k.
Simple na visurprise surprise fanya maisha yenu ya kimapenzi mepesi laini.
Kukalipiaa Ubabe nooo.
Mwanamke anahitaji kubembelezwa, vikosa vidogodogo puuzieni jamani kuna wanaume wana gubu hapana. Utakimbiwa.
OK.Good Night.
HahahahahahaYes. Da shem
Maua ua ya nini?? Hayo maua ua ni sawa na matofali mangapi(?? Shem
NikunyonyeWanaume wabakaji mm hata siwapendi romantic wanaota kwenhe ndoto
Vikosa vidogovidogo vipuuzwe? Nani kaema..
Ujue muwa ulizamisha meli!!
NnNikunyonye
Izo nyonyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Izo nyonyo
mimi wa tarime haya ya kubembeleza ntayaweza kweli,Heloo,
Kidogo nimeona nije na masomo kadogo Leo baada ya wiki tamu hii ya 900 itapendeza,
Jamani wakaka/ wababa sio eti ukiwa na six pack au pesa au muonekano mzuri sijui urefu ndo wanawake wachumba utapata nope.
Sometimes you need to be gentleman/ romantic and charming. Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawapati wapenzi.
Siri ndo hiyo. Tumia lugha tamu na lakini. Siku zingine nunua hata fresh flowers mpelekee, vinguo vizuri zuri vya ndani visandozi n.k.
Simple na visurprise surprise fanya maisha yenu ya kimapenzi mepesi laini.
Kukalipiaa Ubabe nooo.
Mwanamke anahitaji kubembelezwa, vikosa vidogodogo puuzieni jamani kuna wanaume wana gubu hapana. Utakimbiwa.
OK.Good Night.
Wanakera sana hawaUmemaliza mkuu.