Acha ujinga ww..heshima ipi wakat unadanga tu apaHeshima tafadhali
Nafikir sasa tunaelewana..haya iyo papa naipatajeHaaaa haaaaa haaaaa
Sawa( siwezi kuzuia mtazamo wako)
Wala siwezi kuchukua I know myself
Usiwe Na hasira kwa MTU ambaye wala hujui
I'm just getting fun here!
Kuna wanaume wanakosa wapenzi kumbeHeloo,
Nimeona humu baadhi wanalalama wana kila kitu but hawapati wapenzi.
Siri ndo hiyo. Tumia lugha tamu na lakini.
OK.Good Night.
Nini tena mummy HelooJamani
Mwanamke anajifunza kupenda km mtoto vileUmeona eeeh
Aksante kwa uelewa.
I'm humbled
yeah depending on ur partner..Haaaa haaaa Haaaa
Hii nayo Kali
OK.wengine hawana knowledge Na mambo hayo.
But it's a nice thing, once in a while.
Yan unajua majukumu aliyopewa mwanamke ni makubwa sana kuliko tunavyofikiri.....awezaye kuyatekeleza ndie aifanyae ndoa yake iwe tamu zaidi ya asali....chaajabu leo et mwanamke anadai maua na kupelekwa beach....Gaudensia.....sijakusoma
Zama zinabadilika
Amini mpaka Leo hii Kuna MAHUSIANO matamuu asali haioni ndani.
Wewe tu
Hiyo ndo kazi inayotakiwa.usikwepe.Ila wanaume tuna kazi!yani pesa niyafute kwa jasho,nije nikulete ule,uvae,ulale sehemu nzuri,nisomeshe watoto,nisaidie ndugu zako na wangu,nikupe penzi zuri,daaah Bado niwe romantic aaaah hata shetani hapendi hivyo
OK.Fafanua hayo.Yan unajua majukumu aliyopewa mwanamke ni makubwa sana kuliko tunavyofikiri.....awezaye kuyatekeleza ndie aifanyae ndoa yake iwe tamu zaidi ya asali....chaajabu leo et mwanamke anadai maua na kupelekwa beach....
kweli kabisa..Sio vibaya kujuzana
Wengi hawajui Hata Pipi ukimnunulia mpenzi wako unashow love ( pipi ya 100)
Umeona eeh.
Halafu Kuna wanaume mambo haya hawayajui kabisa
Na wana ona usumbufuuuu