Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

Wakaka/wababa kuweni romantic kidogo

yap i get it.. romantic ni muhimu but na nyie msiwe manabweteka sifa fanyeni kushow love ili myutia hamasa tuone kweli tunayafanya kwa mtu sahihi..

nadhan mkiwa mnadeka deka kwetu itapendeza...[emoji23][emoji23]
 
Huo c uanaume ni uvulana
kwaio uanaume ni kumtetemekea mwanamke ili asikuache (au ndo umeanza mapenzi nini mkuu)Samson alikua romantiki leo yuko wapi, ..nyie ndo wale ambao mnapigishwa deki nyumbani na mwanamke anaangalia tv
 
Sawa!!wewe mwanaume endelea kubembeleza,nunua maua,kyupi,magauni,mfanyie besdei pati, fanya kila kitu mwanawane kama mleta uzi alivoshauri!!umeskia eenh!!
hajielewi uyo achana nae,hawa ndo wale ambao akisalitiwa na mwanamke anaenda kujinyonga
 
nimecheka sana mku kwa kumpata m babe na asiye kununulia vijizawadi ila nimecopy na kumtumia shemeji whatsapp ajirekebishe hata kama yupo masomoni akukumbuke
Haaaa haaaaaaa
Wala usicheke kwa sababu ulichosema is nothing to do with him.
Seem to know me and him but you are totally wrong my dear.
Na Hakuna niliposema Nina mpenzi mbahili.
Nooooooo!
Bali hayo mambo yapo Na ni story za kila Siku Hata humu fatilia Watu wanaongea.
Chill out.
 
Wanawake wa kibongo hawathamini maua,wee mpe hela,..et kabsa dume zima ubabeba miua unapeleka kwa dem wa kibongo?atacheka kimoyomoyo...maua waachie ngoz nyeupe
Real??
 
Ujinga mtupu huu..ubebembelezwe nini wakat huna mbele wala nyuma..ww ni wa kutumika tu [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Go to the point dear
Acha hasira
 
Unafikiri sijui bei,unajiletesha vimaua hapa vya miambili pesa yote unahonga.Na hapa hupati kitu Ukimwi wako peleka huko huko....
Hahahahahaaaaa
Mahaba niue!!!
Hiyo haitoshi unaongezewa na zawadi ya fyyoooo!!!
Mbona ndo kiromantic zaidi
Hao wa wapi jameni
 
Kha!hivi kuna mwanaume zama hizi anahangaika kumfurahisha mwanamke?!?Mwanaume jikite kutafuta pesa watoto wa kike wapo tu na wanazaliwa wazuri kila siku,akikuacha huyu winda mwingine, huyu akizingua kamata mwingine!!mbona wetu tu hawa!!
Hujabahatika kuwaona??
 
Kuna mwenzio wa jinsia yako alipelekewa 'fresh flowers' akamjibu mletaji kuwa,''umeniona mi nyuki nataka kutengeneza asali''
Haaaa haaaa Haaaa
Hii nayo Kali
OK.wengine hawana knowledge Na mambo hayo.
But it's a nice thing, once in a while.
 
Naaam da shemeji. Chini ya utawala wa huyu bwana si mnaona hali ilivyo jamani???
Zama zitapita tu msijali
But mnaweza mkawa mnafanya vitu vidogovidogo just for love!
Like outing to nice places
 
Back
Top Bottom